John Bocco alienda Kufanya nini Cosafa

John Bocco alienda Kufanya nini Cosafa

Watanzania mliowengi ni wapumbavu kabisa..ubovu wa timu ya Tanzania Ni nini kwa mfano!?timu imealikwa imetoa wenyeji tena nyumbani kwao,na kabla ya hapo walisha cheza mechi zaidi ya tatu na kuongoza kundi bado unawaveza,na kwa taarifa yako mechi zote ilizocheza taifa stars kasoro ya jana man of the match alitoka kwetu bado wewe unatokea uko buseresere unaibeza timu ya taifa acha upumbavu kabisa..siku nyingine ukiona wanakukela naenda wewe na babako mkacheze shwain kabisa..wewe ukitaka boko acheze wakati timu ilikua inashambuliwa muda wote,!?mbwa kabisa wewe!!
 
Kama ni hivyo huyo Boko aliyekuwa hana maadalizi yoyote alifuata nini Afrika kusini kama sio nuksi?
Kwani ilikua lazima Niko acheze ingetokea injury kwa mfano ingekuaje!?ndo maana timu inapeleka wachezaji 22 lakin wanaoingia uwanjani Ni 11 tu kwa taarifa yako Niko alienda kuziba nafasi ya Mbarak Yusuf aliyepata majeraha
 
matumizi mabaya ya Pesa watu mpira amjui mnaleta mambo ya ajabu eti munamuagizia mchezaji akazibe pengo wakati timu zima libovu fyuuuuuuh

Boko hajaenda kucheza COSAFA, ameenda kuungana na timu kwa maandalizi ya mechi ya CHAN dhidi ya Rwanda.
 
Watanzania mliowengi ni wapumbavu kabisa..ubovu wa timu ya Tanzania Ni nini kwa mfano!?timu imealikwa imetoa wenyeji tena nyumbani kwao,na kabla ya hapo walisha cheza mechi zaidi ya tatu na kuongoza kundi bado unawaveza,na kwa taarifa yako mechi zote ilizocheza taifa stars kasoro ya jana man of the match alitoka kwetu bado wewe unatokea uko buseresere unaibeza timu ya taifa acha upumbavu kabisa..siku nyingine ukiona wanakukela naenda wewe na babako mkacheze shwain kabisa..wewe ukitaka boko acheze wakati timu ilikua inashambuliwa muda wote,!?mbwa kabisa wewe!!
Wasamehe bure kuna watu wana kurupuka tuu
 
Hawajui mpira hao,ww ni mzalendo wa kweli,pamoja mkuu
 
Watanzania wengi ni sifuri kabisa. Timu yetu inazidi kukua na kufanya vyema. Mtu unakuja kuwabeza namna hii. Kwa mtu anayejua mpira atawapongeza ila kwa wajinga wataibeza timu.
 
Back
Top Bottom