Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
matumizi mabaya ya Pesa watu mpira amjui mnaleta mambo ya ajabu eti munamuagizia mchezaji akazibe pengo wakati timu zima libovu fyuuuuuuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira ni maandalizi sayansi na ufundi hakuna cha uchawi. Bahati. Au mikosiHuenda ndiye aliyepeleka mkosi!
Kaenda kusubiri mechi ya mshindi wa tatu.matumizi mabaya ya Pesa watu mpira amjui mnaleta mambo ya ajabu eti munamuagizia mchezaji akazibe pengo wakati timu zima libovu fyuuuuuuh
Kama ni hivyo huyo Boko aliyekuwa hana maadalizi yoyote alifuata nini Afrika kusini kama sio nuksi?Mpira ni maandalizi sayansi na ufundi hakuna cha uchawi. Bahati. Au mikosi
Kwani ilikua lazima Niko acheze ingetokea injury kwa mfano ingekuaje!?ndo maana timu inapeleka wachezaji 22 lakin wanaoingia uwanjani Ni 11 tu kwa taarifa yako Niko alienda kuziba nafasi ya Mbarak Yusuf aliyepata majerahaKama ni hivyo huyo Boko aliyekuwa hana maadalizi yoyote alifuata nini Afrika kusini kama sio nuksi?
matumizi mabaya ya Pesa watu mpira amjui mnaleta mambo ya ajabu eti munamuagizia mchezaji akazibe pengo wakati timu zima libovu fyuuuuuuh
Wasamehe bure kuna watu wana kurupuka tuuWatanzania mliowengi ni wapumbavu kabisa..ubovu wa timu ya Tanzania Ni nini kwa mfano!?timu imealikwa imetoa wenyeji tena nyumbani kwao,na kabla ya hapo walisha cheza mechi zaidi ya tatu na kuongoza kundi bado unawaveza,na kwa taarifa yako mechi zote ilizocheza taifa stars kasoro ya jana man of the match alitoka kwetu bado wewe unatokea uko buseresere unaibeza timu ya taifa acha upumbavu kabisa..siku nyingine ukiona wanakukela naenda wewe na babako mkacheze shwain kabisa..wewe ukitaka boko acheze wakati timu ilikua inashambuliwa muda wote,!?mbwa kabisa wewe!!
Hawajui mpira hao,ww ni mzalendo wa kweli,pamoja mkuuWatanzania mliowengi ni wapumbavu kabisa..ubovu wa timu ya Tanzania Ni nini kwa mfano!?timu imealikwa imetoa wenyeji tena nyumbani kwao,na kabla ya hapo walisha cheza mechi zaidi ya tatu na kuongoza kundi bado unawaveza,na kwa taarifa yako mechi zote ilizocheza taifa stars kasoro ya jana man of the match alitoka kwetu bado wewe unatokea uko buseresere unaibeza timu ya taifa acha upumbavu kabisa..siku nyingine ukiona wanakukela naenda wewe na babako mkacheze shwain kabisa..wewe ukitaka boko acheze wakati timu ilikua inashambuliwa muda wote,!?mbwa kabisa wewe!!