John Bocco asaini Simba miaka miwili!!!

Inawezekana Yanga wamepandikiza kitu simba , naanza kupata mwanga , na ndio maana Tarimba kaingia kwa njia ya Sportpesa , tukamtosa mwanetu MO .
Hamna kitu cha namna hiyo Mkuu!

Mule wachawi ni wao kwa wao...[emoji23]
 
Usiwaamini sana hawa , Madaraka selemani tuliambiwa ana miaka 28 kumbe ana 48 !
 
Kuna mafia zaidi yake, rejea sakata la victor kosta!
 
Mbona umetaja hilo tu la Victor Costa!


Nikianza kukutajia

Akina Kaseke,Twite na wengineo utaweka wapi sura yako!
Duh, haya bhana, ila umafia simba tulianza kitambo, nimetaja victor kosta sababu aliyeingizwa mjini alikuwa ni mwenyekiti wa yanga kipindi hicho jamal malinzi, costa alitinga mazoezoni simba akiwa na jezi ya simba iliyoandikwa jamal malinzi mgongoni kama dharau ya kumuingiza mjini, hata kina husein masha na masatu kama unawaju na uliwaona wakicheza, yanga walipigwa tobo dk za mwisho!
 
Akipata watu watakao mlisha mipila ni nzuri kiasi fulani, aongeze bidii kwenye mazoezi ya ufungaji magoli.
 
Mikia inapenda cheap labour a.k.a kitonga,ganda la ndizi na kuti la mnazi.
 
Bocco atakuwa anacheza gama la SIMBA na YANGA tu maana mifupa yake imeshachoka.
 
Bocco bado kijana sana, akipewa nafasi atakuwa msaada mkubwa kwa Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…