nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,806
- 5,347
Ananyea Debe possibly anaweza kuishia hukoooNaaam huyo huyo aliyewaletea taarifa ya "salamu na pongezi za Infantino za Ubingwa kwa Yanga SC" na kukata ngebengebe zote za Rufaa ya Simba.
Huyo Jamaa namkubali mno, ni limafia likuu la soka la Bongo!
Unaweza Ukamuita kwa jina lake "Jamali Emery Rweyemamu Rutashobya Malinzi".
[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app