Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Siku ipi?Kuna watu wanamtetea huyu bocco Ila ipo cku watakuja kipata wanachokitafuta
Inasikitisha, akina kyombo wanakaa nje anaingizwa mzee.Yaani unaacha kumuingiza Kapama unamuingiza mtu ambae hata kukimbia ni tatizo!!
Mgunda nae michosho saa nyingine
Kuna washabiki hawajui mpira wanafuata mkumbo tu..wamesahau kule Malawi alichokifanya.Amecheza mechi mbili za kimataifa msimu huu sawa na dk 42 na ana goli moja hivyo usimdharau
Amefunga baada ya kukutana na mpira kwenye njia. Game za sasa zinahitaji mwili flexible na wenye nguvu. Magoli rahisi kama yale hayatakuwepo huko mbele tunakoenda.Amecheza mechi mbili za kimataifa msimu huu sawa na dk 42 na ana goli moja hivyo usimdharau
Acha uchawi, shinda game zako kwanza.Mambumbumbu wenzangu toka MAKOLOKOLO FC chonde chonde tusijisahau sana maana mwisho wa safari yetu hauko mbali sana [emoji28]
Jamaa kashazeeka wao wanampanga kiushikaji kwenye game ngumu.Kuna watu wanamtetea huyu Bocco Ila ipo cku watakuja kipata wanachokitafuta
Wewe mgeni hapa jf? Mimi ni fan mkubwa wa Simba. Bocco ameshapitwa na wakati kwa game za kasi na nguvu kama za cafcl. Tuache kuongea kishabiki.Utopolo embu mtuache...hangaikeni na Li timu lenu.
Li timu lenu Lina Miaka 24 Halijaingia Makundi CAF Champion.....!
Kuna Mizee pale inakula Pensheni Ya Bure kbs MNAIFUGA.. !
Juma Shabani.
Kisinda
Aucho
Bangala
Yanga ikitaka mafanikio Hawa wote timua Leta damu Changa.....!
Anaelekeza kwa kupoteza mipira?😂Ni kocha mchezaji.
Anaenda kuwaelekeza wachezaji uwanjani.
Kama Hassan Haffif.