Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
-
- #21
Mkuu malawi alifanya nini? Maana nakumbuka alikutana na mpira akafunga. Game za cafcl zinataka mapambano ambayo bocco hayawezi tena.Kuna washabiki hawajui mpira wanafuata mkumbo tu..wamesahau kule Malawi alichokifanya.
Uzoefu ni wa muhimu kama mwili bado unakubali kazi.Kuna issue nyingine zinahitaji uzoefu wakuu,Bocco ni mzoefu huwezi mlinganisha na hao madogo wa juzi!
Kweli kabisa. Anaweza kufanya kosa moja akapoteza heshima yake maana mashabiki hawatabiriki.Boko anabidi ajitambue na astaafu sasa kwa heshima, kuliko anavyong'ang'ania kuendelea kucheza atakuja kuachwa kwa aibu.
Aliyoyafanya yanatosha ajikite kwenye kusomea ukocha kama bado anataka kuwa kwenye familia ya mpira.
😂😂😂Bocco akalee wajukuu sasa
Sawa nguruwe poriMambumbumbu wenzangu toka MAKOLOKOLO FC chonde chonde tusijisahau sana maana mwisho wa safari yetu hauko mbali sana [emoji28]
Magoli mangapi ya Haland sio ya kukutana na mpira?Amefunga baada ya kukutana na mpira kwenye njia. Game za sasa zinahitaji mwili flexible na wenye nguvu. Magoli rahisi kama yale hayatakuwepo huko mbele tunakoenda.
Nani mwingine alikutana na mpira kati ya Wachezaji wote kumi?.Mkuu malawi alifanya nini? Maana nakumbuka alikutana na mpira akafunga. Game za cafcl zinataka mapambano ambayo bocco hayawezi tena.
Mkuu mechi za cafcl ni nadra sana kupata magoli kwa staili hiyo. Vijana waliopo wapewe nafasi.Nani mwingine alikutana na mpira kati ya Wachezaji wote kumi?.
Mashabiki tuache tabia ya kusimanga, Bocco ni Mfungaji na ameshapruvu hilo....ni jukumu lao hao wengine nao waoneshe kama anavyofanya Firi.
Halaand yuko flexible, magoli yote anafunga.Magoli mangapi ya Haland sio ya kukutana na mpira?
Bora kyombo apewe nafasi apate uzoefu kuliko kumweka bocco anayepoteza mipira na hata kukaba hawezi.Simba inatakiwa isajili washambuliaji, vinginevyo bocco ataendelea Tu kucheza. Nadhan viongozi wamsaidie mwalimu. Ila Kwa sasa options za mwalim ni ndogo Sana. Akikosa kitu anachotaka Kwa kiyombo anabakia na bocco Tu.
Hakika.👍Ukweli usemwe. Bocco na Kibu ni hasara kwa timu
Simba ushkaji mwingi,,,,Kila nabii na zama zake...zama za bocco zmekwshaBocco anayo rekodi nzuri pale Simba na hakika mchango wake ndani na nje ya uwanja hauwezi kusahaulika.
Ila kwasasa ni vizuri uhalisia ukazingatiwa, John umri umemtupa mkono. Mechi za kimataifa zinataka kasi na umakini mkubwa.
Leo amepoteza mipira mingi sana kwa dakika chache alizocheza. Atumike kwenye michuano mingine lakini sio CAFCL.
Hasa huyo kibu ni mjanja mazoezini anajituma vibaya mnoo njoo uwanjani sasa anyway iyo mbinu yake tumeishitukia sasaBocco na Kibu hawafai kuwepo
Mizee hii bado ukikutana nayo inakubandua, means michezaji yako ni Mizee zaidi yaoUtopolo embu mtuache...hangaikeni na Li timu lenu.
Li timu lenu Lina Miaka 24 Halijaingia Makundi CAF Champion.....!
Kuna Mizee pale inakula Pensheni Ya Bure kbs MNAIFUGA.. !
Juma Shabani.
Kisinda
Aucho
Bangala
Yanga ikitaka mafanikio Hawa wote timua Leta damu Changa.....!