mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Simba waliamua kukupa kazi ili ustaafu kwa heshima ila ukaikataa hiyo heshima.
Passport yako inasoma izaliwa 1989 si ajabu kiuhalisia ni 1984, ninavyojua mimi miaka 40 uliyonayo ukipata serious injury huwezi kupona kwa hospitali zetu,timu yako ya sasa haina uwezo wa kukupeleka nje ya nchi, matokeo yake akiba yote uliyochuma ujanani si ajabu ikaisha kwa ajili ya kujitibu tu.
Utasema mbona Ronaldo ba Messi mnalingana? Sawa lakini wenzako wanaweza kwenda kutibiwa hospitali yoyote,
Mzee mwenzako Chama kaenda Yanga kulipwa mafao ya uzeeni, hata apasuke fuvu la kichwa GSM atamtibia popote duniani,sasa wewe na timu yako ya JKT wakijitahidi ni hospitali ya jeshi ya Lugalo
Kila la kheri striker wa Taifa