John Bocco kwa umri wako wa miaka 35, ukivunjika kupona nchini ni ngumu, timu yako haiwezi kukupeleka nje ya nchi kutibiwa, ungepumzika tu

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Simba waliamua kukupa kazi ili ustaafu kwa heshima ila ukaikataa hiyo heshima.

Passport yako inasoma izaliwa 1989 si ajabu kiuhalisia ni 1984, ninavyojua mimi miaka 40 uliyonayo ukipata serious injury huwezi kupona kwa hospitali zetu,timu yako ya sasa haina uwezo wa kukupeleka nje ya nchi, matokeo yake akiba yote uliyochuma ujanani si ajabu ikaisha kwa ajili ya kujitibu tu.

Utasema mbona Ronaldo ba Messi mnalingana? Sawa lakini wenzako wanaweza kwenda kutibiwa hospitali yoyote,

Mzee mwenzako Chama kaenda Yanga kulipwa mafao ya uzeeni, hata apasuke fuvu la kichwa GSM atamtibia popote duniani,sasa wewe na timu yako ya JKT wakijitahidi ni hospitali ya jeshi ya Lugalo

Kila la kheri striker wa Taifa
 
Passport yako inasoma izaliwa 1989 si ajabu kiuhalisia ni 1984,Ninavyojua mimi miaka 40 uliyonayo ukipata serious injury huwezi kupona kwa hospitali zetu...
Huyo umri wake 40, namjua
 
Why staff get retired,kuna umri ukifika mfuoa ukivunjika kuungani kazi,moira sio mziki uimbe mpaka uzeeni motherfanta you

Mkuu in life there's no retirement

Age is just a number

35 yrs katika hesabu za makadirio ni 25 yrs.

Don't get complacent .

A lot of motherfuckers they afraid aging and they think life is about age while in reality age is nothing but a number

35 is 25 in approximate mathematic ✊🏿
 
Nimependa sana unavyojipa moyo mimi binafsi siogopi uzee wala sijakata tamaa mpaka siku naingia kaburini as long as niko na afya,ila football ni mchezo wenye risks nyingi kwa wazee,tofauti ni film actors na wanamuziki
35 approximate ni 45
 
Kweli I agree with you

Ila ukiona MTU ameenda sehemu lazima amepiga hesabu Sana

At his age 35 bado anaweza kuendelea kuokota

35 katika kuishi ni 25 na 45 ni 35
 
Simba waliamua kukupa kazi ili ustaafu kwa heshima ila ukaikataa hiyo heshima.

Passport yako inasoma izaliwa 1989 si ajabu kiuhalisia ni 1984,Ninavyojua mimi miaka 40 uliyonayo ukipata serious injury huwezi kupona kwa hospitali zetu,timu yako ya sasa haina uwezo wa kukupeleka nje ya nchi,matokeo yake akiba yote uliyochuma ujanani si ajabu ikaisha kwa ajili ya kujitibu tu.

Utasema mbona Ronaldo ba Messi mnalingana? Sawa lakini wenzako wanaweza kwenda kutibiwa hospitali yoyote,

Mzee mwenzako Chama kaenda Yanga kulipwa mafao ya uzeeni .hata apasuke fuvu la kichwa GSM atamtibia popote duniani,sasa wewe na timu yako ya JKT wakijitahidi ni hospitali ya jeshi ya Lugalo

Kila la kheri striker wa Taifa
Wewe ndiye mama yake na JB!
 
Acha wivu.
 
Simba waliamua kukupa kazi ili ustaafu kwa heshima ila ukaikataa hiyo heshima.

Passport yako inasoma izaliwa 1989 si ajabu kiuhalisia ni 1984, ninavyojua mimi miaka 40 uliyonayo ukipata serious injury huwezi kupona kwa hospitali zetu,timu yako ya sasa haina uwezo wa kukupeleka nje ya nchi, matokeo yake akiba yote uliyochuma ujanani si ajabu ikaisha kwa ajili ya kujitibu tu.

Utasema mbona Ronaldo ba Messi mnalingana? Sawa lakini wenzako wanaweza kwenda kutibiwa hospitali yoyote,

Mzee mwenzako Chama kaenda Yanga kulipwa mafao ya uzeeni, hata apasuke fuvu la kichwa GSM atamtibia popote duniani,sasa wewe na timu yako ya JKT wakijitahidi ni hospitali ya jeshi ya Lugalo

Kila la kheri striker wa Taifa
Amuulize mwenzake Victor Costa alipoishia, alivunjika mguu akaishia kuwekewa Muogo tena dispensari, tangu hapo sijui alipotelea wapi, naskia zikuhizi analima vitunguu
 
Inaonekana wanaendelea kuwekeza maana kukaa mtaani bila kazi ni kazi pia nimemuona Msuva kwenye mitandao kaenda kucheza mpira huko Iraq wacha wapambane vijana maana life yenyewe sio hii..
 
Kweli I agree with you

Ila ukiona MTU ameenda sehemu lazima amepiga hesabu Sana

At his age 35 bado anaweza kuendelea kuokota

35 katika kuishi ni 25 na 45 ni 35
Tatizo ni timu,a
Inaonekana wanaendelea kuwekeza maana kukaa mtaani bila kazi ni kazi pia nimemuona Msuva kwenye mitandao kaenda kucheza mpira huko Iraq wacha wapambane vijana maana life yenyewe sio hii..
Uzeeni tafuta timu inayolipa vizuri hata kama haijulikani,akina Ronaldo wamefata mafao huko arabuni,Chama ana akili sana umri umeendana yuko sehemu sahihi
 
Back
Top Bottom