John Bolton: Trump kaisalimisha Ukraine kwa Russia kikamilifu, Kremlin wanashangilia wakinywa vodka bila glass.

Usa akiguswa huwa mnakuwaga wakali kama pili pili
 
Hakuna wanajeshi Marekani wanaopigana Ukraine, raia wa Ukraine wako tayari wenyewe kupigana frontline kulinda mipaka ya nchi yao, hawajalazimishwa na Marekani.
Wapo siyo wengi.
Ndiyo wanao toa mafunzo na kutumia silaha za kisasa toka kwa Marekani na EU-NATO.
Wachache zaidi wanaenda Frontline kufanya ambush au incursions.
Mara kadhaa Russia alikuwa ana shambulia decision centers walipo hao wageni na kuwauwa.
Suala kubwa kwa Marekani hapo ni kupoteza pesa nyingi kwa vita inayo onesha Ukraine anashindwa. Huku nyumbani (US) deni la taifa na mlipuko wa bei vikiongezeka kwa kasi.
 
Tuliwaambia hapa Ile Vita Ukraine atashindwa sababu Russia kwao ni existential war.
Wakishindwa ni kifo cha taifa lao na uhuru wao.
Russia was ready to go on fighting for decades.
 
Hivi Trump kawazuia Ukraine kuipambania ardhi yao? Yeye kakataa kuendelea kutoa pesa, basi; kama Ukrainians wanataka kuendelea kupigana na Russia, let them continue with support from US, that's it
Inawezekana hajawazuia, ila inaweonekana anajaribu kuiamua hiyo vita bila mhusika mkuu Ukraine kuhusika kitu ambacho hakina maana.
 
Wakati Russia anaichukua Crimea , Ukraine alikuwa amejiunga NaTO!?
 
Inawezekana hajawazuia, ila inaweonekana anajaribu kuiamua hiyo vita bila mhusika mkuu Ukraine kuhusika kitu ambacho hakina maana.
Ukraine apigane mwenyewe na Mrusi, Trump hataki kutoa misaada ya kifedha kwa yeyote. Ieleweke hivo kwamba Trump hakuzuii kufanya chochote including kupigana na adui yako, kile hataki ni financial and military support from him
 
Nani amelazimishwa na Ukraine kumsaidia!? Msaada haulazimishwi.
 
Apewe bunduki aingie front kwnda kupigana...sometimes matatizo mengi duniani yanayosababishwa na wanasiasa ilitakiwa wapewe silaha wao wenyewe watafutane sio kuchochea migogoro halafu wao wanakuwa ofisini wanacheki kwa mbali mtanange
Na watoto wake na mke wake wote waende warfront.
 
Hapa Imani ya kumwaminu MUNGU lazima ichukue nafasi,MUNGU amemuandaa Trump kuimaliza vita ya Ukraine,Ukraine ni taifa muhimu sana inapokuwa haina vita,inalisha nchi nyingi sana duniani kwa uzalishaji wake mkubwa wa ngano.
 
Hii imfikie pia smotrich na ben gavir wapew nao silaha ili waone ugumu wa kupigana vita physically
Ila masuala ya vita uyasikie tu kwa jirani yako. Huko DRC jamaa wanatupa bunduki na masasi na kujiunga na waasi ili kuponya roho zao. Enzi zile za Nduli wenzetu walituambia, " Yakhe, haya mambo hayatuhusu sisi. Kuchokoza mchokoze nyie, kufa tufe sisi?"
 
Hapa Imani ya kumwaminu MUNGU lazima ichukue nafasi,MUNGU amemuandaa Trump kuimaliza vita ya Ukraine,Ukraine ni taifa muhimu sana inapokuwa haina vita,inalisha nchi nyingi sana duniani kwa uzalishaji wake mkubwa wa ngano.
Kwa nini Mungu hakumzuia Putin kuivamia Ukraine??
 
Hii imfikie pia smotrich na ben gavir wapew nao silaha ili waone ugumu wa kupigana vita physically
Wale ndo mafala kabisa....Nina uhakika wakiingia uwanja wa vita watatupa silaha wale Kona.....watu wanaoongea sana kwa kufoka huwa ni waoga kishenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…