Angeanza Putin kushika bunduki kuingia front badala ya kwenda kukodi Wakorea Kaskazini hapo pointi yako ingekiwa na maana. Yaani Russsia awapore Ukraine ardhi yao halafu iwe poa tu, ndivyo mlivyofundishwa hivyo au sio!? Nini maana ya mipaka sasa!? Au ndio nyie mnaoona sawa Rwanda amege eneo la Congo!? Na baada ya hapo itakuwaje!? Kila nchi yenye ubavu wa kupora eneo la mwingine ifanye hivyo!? Na majeshi ya ulinzi kazi yake itakuwa nini!? Au bajeti za ulinzi mnaona zinawekwa tu bila akili!?
Ngoja kesho China aingie hapo Taiwani, tuone huyo bwana Trump kama atakaa kimya, kama mnavyomuona ana akili sana!