John Butler Walden (1939 - 2002) a.K.a ''Black Mamba''- A legend in the Tanzanian army (author unknown)

Aisee asubuh yangu imeenda vyema kabisa....nadeclare interest....mke wangu akijfungua mwanangu namuita WALDEN

same here broh! But nilikua najua story za vita na pia Jina lake nilihisi tu lazima awe chotara. RIP! gone too soon!
 
Ngongo,
Hiyo taazia/makala sikuandika mimi.
Mwandishi simjui lakini nimeomba jina lake.

Nimeikuta kwenye group yetu moja nika CnP.
Kihiyo mie nitaandika nini cha maana kaka?

Ila mkuu story zile za kugawa watu hazina tija kwa Taifa hili, kwa umri ulionao ni vyema ukatufundisha upendo, ushirikiano na kushea mambo kama haya ambayo yanaongeza morale ya uzalendo ilituweze kulitumikia vyema Taifa letu, tukiwa kama walinzi wako na vizazi vyako.
 
Uhuru na Umoja,
Sijamgawa yoyoye yote niliyoandika ni ukweli katika historia
ya Tanganyika.
 
Historia tamu namna hii lakini hawa fisiem wa sasa sijui tutasimulia nn baadae may god be with us all
 
Aisee asubuh yangu imeenda vyema kabisa....nadeclare interest....mke wangu akijfungua mwanangu namuita WALDEN
Dah nilimkubali sana ila maneno yake yalinifanya niheshimu na nitaheshimu wanajeshi sana wamejitoa kweli.Alisema wakati wa vita mbalimbali hususani akitolea mfano ya ukombozi wa Msumbiji ilikuwa kali yaani alikuwa anateua troop ya askari 200 moyoni anajua harudi hata mmoja kati yao.Alisema inauma lakini hauna namna.
Mzalendo wa kweli R.I.P Mwenyekiti wa ukweli.
 
Halafu hawa wazenj wanasema machotara sio wazalendo kwao huko visiwani?? Uzalendo sio rangi nyie mburula!!!
kaka machotara wa kiarabu hawaaminiki, ni wajivuni wao wanamtaka Jamsheed babu yao arudi. Mapinduziiiiiiii! ...daimaa!
 
Nafahamu nyumbani kwake Iwambi Mbeya.
Mashujaa wetu hawa tuwaenzi kwa nguvu zetu zote.

Hii makala inagusa moyo sana na inafungua ufahamu mkubwa kabisa juu ya changamoto za maisha, uadilifu, malengo, uvumilivu lakini pia masuala ya uzazi na ulezi wa watoto, na changamoto mbali mbali ambazo binadamu zinamkuta na namna ambavyo hatakiwi kukatishwa tamaa.

Major General Walden, pengnie maisha ya kutengwa na wazazi akiwa mtoto mdogo, yalimjgengea tabia ya kujitegemea akiwa katika umri mdogo na kufahamu kwamba ili mtu apate anachokihitaji katika maisha ni lazima afight. Bila hivyo, kitendo cha kubaguliwa na kutiliwa mashaka uzalendo na uaminifu wake kwa jeshi, kulingana na rangi yake au tabia za mzee wake, tayari kungemvujna moyo na pengine hata angeamua kufuta mkondo mwingine wa maisha. Huyu kijana anafundisha mengi mno kwa jina za matendo.

Hata hivo, ninatamani sana habari kama hizi, zingefuatiliwa na kuandikwa kabla hajafariki ili kumsikia kwa upande wake anasema nini. Yako masuala mengi sana ya kujinfunza kutoka kwa atu kama hawa. Si kwa Watanzania ama binadamu wa kawaida, bali pia upande wa serikali namna ya kuwaenzi kwa dhati badla ya kisiasa.

Major General nimeongea naye mara kadhaa nyumbani kwake Iwambi. Nilikuwa nikipitia nyumbani kwake mara nyingi nikitokea Lusaka kwa gari na alikuwa mkarimu na mwenye ushirikiano na watu sana. Penginge historia yake hii ndiyo imepelekea kumfanya awe mtu wa kuthamini watu, asiyejibagua na mwenye upendo.

Kuna mengi ambayo kama yangeandikwa pia kwa kumhoji yeye, hii habari ingelikuwa na upande wa pili ambapo pengine umma ungelifahamu Serikali yetu inawaenzi vipi mashujaa wetu wanapokuwa hai baada ya kumaliza majukumu yao. Kwa kugusa mioyo na fikira, ninahakika maisha ya Major General huyu, yangetoa mwelekeo mpya na makini juu ya kuenzi wataafu wetu wanaoishi maisha ya majuto.

Ahsante kwa makala nzuri. Karibu na zingine utushirikishe.
 
kaka machotara wa kiarabu hawaaminiki, ni wajivuni wao wanamtaka Jamsheed babu yao arudi. Mapinduziiiiiiii! ...daimaa!

Mkuu, usije ukathubutu kulinganisha ufahamu na moyo wa mwarabu na mtu yeyote duniani ukiachilia mbali mzungu. Mwarabu usithubutu kumwani kuanzia mwonekano, maneno yake na zaidi sana akili zake ambazo huwa ziko katika dunia nyingine tu!

Waarabu siyo binadamu wale wewe. Mwarabu ni mtu rangi tu lakini ndani ni hadith ya bibi tarabushi!. usidanganywe wewe kwamba kuna binadamu anaitwa mwarabu!. Utashangaa uanishi ni vampire!.
 
Asante kwa Mara ya kwanza MOHAMED SAID hata kama ume C&P lakini bado inabaki kuwa umetushirikisha historia isiyo na Chembe ya Yale mambo yako yaleeeee....
Hongera once again
 
Yaani wewe umequote habari yote ku comment utarudi tena! shame on you. Kuna uzi uliwataja watu kama nyie kazi kuharibu nyuzi!
Jina lako tu linanipa raha, hebu toa hiyo yeye tuone unaitwaje vile!
 
Reactions: Wun
Hapana ni Iwambi..katikati ya mby mjini na mbalizi ...mama yake alikuwa ni mnyamwanga ( kabila la mama yake )
Sawa kabisa Rafiki. Ni Iwambi. Ukipia upande wa Itende Kijijini uaelekea Iwambi kunako kuvuka reli ya TAZARA uelekeo wa Songwe....Nimekubali "mwongozo". Asante sana...
 
Uhuru na Umoja,
Sijamgawa yoyoye yote niliyoandika ni ukweli katika historia
ya Tanganyika.
Nakubaliana nawe. Hujamgawa yeyote. Mtu atjigawa akipenda (baada ya kulisoma simulizi hili)........Ukweli utabaki palepale..
 
Asante kwa Mara ya kwanza MOHAMED SAID hata kama ume C&P lakini bado inabaki kuwa umetushirikisha historia isiyo na Chembe ya Yale mambo yako yaleeeee....
Hongera once again
Mahesabu,
Wakati naandika kitabu cha Abdul Sykes hata kwa mbali haikunipitikia kama
kitabu hiki kitakuja kuwaumiza watu wengi sana.

Chanzo cha kitabu kilikuwa kitabu kilichaondikwa na Chuo Cha Kivukoni: ''Historia
ya TANU 1954 - 1977.''

Nilisikitika na kuudhika kuona kitabu kizima kimeandikwa na wale khasa waliounda
TANU hawakutajwa.

Nilijiuliza vipi inaweza kuandikwa historia ya TANU jina la Abdul Sykes lisitajwe.

Asitajwe Sheikh Suleiman Takadir, asitajwe Mshume Kiyate, asitajwe Bi. Tatu
biti Mzee
kwa kuwataja majina machache tu.

Ikiwa unaumizwa na historia ya wazalendo hawa utaudhika maisha maana ndiyo sasa
historia inayokubaliwa kwingi duniani katika vyuo vinavyosomesha African History.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…