John Butler Walden (1939 - 2002) a.K.a ''Black Mamba''- A legend in the Tanzanian army (author unknown)

Ngongo,

..kuna cable moja ya ubalozi wa Marekani iliandikwa wakati Tumainieli Kiwelu alipoteuliwa kuwa Chief of Staff, inamuelezea Tumainieli Kiwelu kama mtu[confidant/chaguo] wa Abdalah Twalipo.

..kabla yake alikuwepo Chief of Staff wa JWTZ anaitwa Brig.Nkwera. Sasa hiyo cable inasema Nkwera na Twalipo walikuwa hawaivi na ndiyo badala yake akateuliwa Tumainieli Kiwelu.

..hizi hapo juu ni taarifa za Wamarekani ambazo zimekuwa de-classified hivi karibuni. Ukizifuatilia unaweza kupata mambo ambayo tunafichwa hapa nyumbani.

..Baada ya kuondolewa JWTZ, Brig.Nkwera alipelekwa kuongoza Rubada[rufiji basin development authority].

..Ukumbuke kwamba Gen.Kiwelu anashikilia rekodi ya kuwa na rank ya General wakati hajawahi kushika wadhifa ya Chief of Defense Forces. Pia amewahi kuwa Chief of Staff mara mbili. Ni kamanda mwanzilishi wa Chuo cha maafisa Monduli. Vilevile ndiye aliyepanga na kuongoza operation ya kuyavukuza majeshi ya Iddi Amin kutoka ktk ardhi ya Tanzania.

NB:

..Umeeleza kuhusu maofisa walioondolewa jeshini na kupewa vyeo uraiani. Yupo Major.Moses Ndosi ambaye alikuwa GM wa Kamata[kampuni ya mabasi tanzania].
 
Hii ni mara ya kwanza Sheikh Mohamed Said kaandika mambo ya maana.
Mohamed siku zote amekuwa akiandika mambo ambayo wengi wa age mates wake wanafahamu kuwa ni UKWELI MTUPU.
Na yeye amekuwa ni mtafiti hasa kupitia nyaraka, wahusika wenyewe au watu wao wa karibu. Inawezekana kuwa mengine huwa yanakera baadhi yetu lakini yeye anasimama kwenye ile dictum kuwa UKWELI UKIDHIHIRI UONGO HUJITENGA na muomba mungu amjaalie aishi na kuona kazi yake ikipewa heshima na Taifa.
 
Habari za Generals wengine ni nadra sana kuzisoma ingawa wanao mchango mkubwa uliotukuka. Tusome biography zao...tusome kazi zao...tusome utayari wao na hata kasoro zao kwa ajiri ya manufaa ya kizazi cha sasa na kinachokuja.

Tunachoogopa nini?
 
JokaKuu, salute! Utuandikie basi tuanze kusoma issue nzima kwa mambo ambayo sio classified. Tukijua tunaambulia chochote hapo badala ya hizi story za kuungaunga kwenye mikesha ya gahawa
 

So far kuna 4 star generals. Five sijui alimpa nani. Ila ndigu yule ni mkorofi aisee
 
Sahihisho:Meja jenerali Imran Kombe a.k.a kamanda mbogo,

Sent using Jamii Forums mobile app

Brigedia Imran Kombe a.k.a Kamanda Ngono!
Siyo kamanda Mbogo
Alipewa jina hilo la Kamanda Ngono sababu aliikusanya brigedi yake ktk mto Ngono na kuvuka mto huo porini akiibukia Mpigi karibu sana na Entebe!
Chanzo cha HIV hapa duniani inakisiwa ni kutoka mto huo ambapo mgonjwa wa kwanza ndipo alipo toka!
 
Nakumbuka alikuja kwenye kufunga mafunzo ya shabaha alizipeleka risasi 10 za bistola ya mchina kwenye bull kwa kutumia mkono wa kushoto. Macho yake yalipokuwa yanatazama ndipo risasi zilipo enda hakuhangaikia kuangalia silaha or sijui kuminya jicho oooh wapi. Tukasikia na hii hadith ya kuwa alikuwa ako na uwezo wa kuliandika jina lake kwa kutumia smg huku akiishikilia kwa mkono mmoja tu. Achana kabisa na huyu jenerali.

Nimeshangaa kusikia hapa katika histotia yake kuwa alilianza jeshi akiwa idara ya mapororo, mpiganaji mahiri kiasi hiki..




Mchina wa jF.
Na washawasha.
 
Mzee MwenyeziMungu akupe uhai mrefu tufaidike na neema za maarifa kupitia kwako!nawe kuna siku itakuja kuandikwa humu na mmoja wetu kama greatest historian wa Tanzania.
Please please weka nyaraka zako in order ,pumzi hazina dhamani kila siku ni zawadi kutoka kwa muumba wetu basi muda huo usiohakika tulio nao tuweke sadaka zetu wazi,Maalim maandiko yako ni sadaka kwetu timeishi lininga kwa muda mrefu pasina kujua yanayotuhusu!
Rasmi natangaza tena kukusanya maandiko yako yote na ningeomba unielekeze wapi nitayapata najua wanangu au wajukuu zangu watakuja kunishukuru sikumoja na watakuja kukuandika wewe kama shujaa wao wa maarifa Inshallah!
 
Ali,
Allah akujaze kheri.
Nina blog yangu: www.mohammedsaid.com nimeweka mambo mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…