John Cheyo: Hakuna chama cha upinzani ambacho ni kikubwa kuliko vyama vingine

CHAMA CHA UPINZANI ni KIMOJA TU hata wewe unakijua CHAMA chako ni TAWI la ccm
 
Huyu tumsamehe ameshakuwa juha
 
Linapokuja suala la Katiba Vyama vyote vya Siasa ni minute..., Katiba ni nchi ni ya Wananchi hivyo vyama wakiwa wanatengeneza Katiba zao ndio waendekeze ukubwa wao...
 
Kwa kuwa UDP ni kubwa kuliko CCM basi yuko sawa.
 
Kuna siku ulimsikia Mwendazake akijiapisha lazima UDP ife kama alivyojiapisha kwa Chadema?
Kuna tetesi Mapesa alikuwa anavuta mshiko kwa Hayati sasa anatafuta gia ya kumuingia Dr Samia
 
Kichaa kinamrudia....
 
LEO NDIO UNAJUA HAYO,HAPO ZAMA ZA KABLA YA SASA"MLITUMIKA KUUNGA JUHUDI TU NA KUPONDA KILA HITAJI LA WENYE NCHI"NA KUBEZA WENGINE..!!,TENA SI VYAMA VYA UPINZANI HATA WANANCHI WASIONA NA VYAMA..LEO UMETIA AKILI,UNAJIRAMBARAMBA KWA MAMA..MBONA WANASIASA WA TZ MNAJIVUA NGUO KWA KUTOANGALIA HATMA YA WA TZ!?.HAYA BWANA KIPINDI CHA BI MKUBWA TUMEWASOMA VYEDI(VIZURI).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…