JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Kwa hiyo ukipiga haswaaa, siku ukifa ndio hakutawekwa mbadala wako!? Hiyo ni falsafa ya maisha "kufa kufaana". Hata Katiba ina provision kabisa ikitokea Rais kafariki arithiwe vipi, ndio wewe mshika mic studio usirithiwe!Kifo kweli hakina huruma, mtu hata bado hajazikwa tayari amesha patikana wa kuchukua nafasi yake kazini.
Aisee...kama ume ajiriwa ukipata nafasi ya kupiga we piga haswaaaaa.
Hakuna mtu wa kukuonea huruma hii dunia nimeamini.