John Dilinga Matlow, mrithi halali wa Gardner Habash

John Dilinga Matlow, mrithi halali wa Gardner Habash

Kifo kweli hakina huruma, mtu hata bado hajazikwa tayari amesha patikana wa kuchukua nafasi yake kazini.

Aisee...kama ume ajiriwa ukipata nafasi ya kupiga we piga haswaaaaa.
Hakuna mtu wa kukuonea huruma hii dunia nimeamini.
Kwa hiyo ukipiga haswaaa, siku ukifa ndio hakutawekwa mbadala wako!? Hiyo ni falsafa ya maisha "kufa kufaana". Hata Katiba ina provision kabisa ikitokea Rais kafariki arithiwe vipi, ndio wewe mshika mic studio usirithiwe!
 
Hapo sasa 😁
 
Siku hizi Ukisikiliza wanaojiita wandisha wa habari wanauliza Swali unatamani ujifukie...Hivi jameni ni nn kimetokea kwenye hii tasnia ya habari??
Madhara ya uchawa!! Wanauliza maswali mepesi ili wapate huruma ya kuteuliwa na viongozi.
 
Zamani ili uwe mwandishi wa habari na mtangazaji, lazima usomee, uwe na kipaji na uwe na chombo cha kufanyia kazi, yaani media kama Redio, TV, gazeti. Ujio wa social media ume liberalize tasnia ya habari, kila simu janja ni media, kila mtu sasa ni mwandishi wa habari, ni reporters, ni mtangazaji, sio lazima kwenda shule wala kujua kusoma na kuandika!, unachohitaji ni simu janja na bando tuu!.
Kiukweli kabisa fani imevamiwa!.
P
Walioharihu fani au tasnia hiyo ya habari ni wanahabari wenyewe. Badala ya wao kuwa WAANDISHI wa Habari wamegeuka na kuwa WAHANDISI wa Habari kwa kuendekeza Vibahasha vya Wanasiasa na watu wengine maarufu wenye ukwasi. Aidha, wengi wao hawapendi kwenda shule, wanaendekeza uchawa na kujikomba kwa watu wengine, hususani hupendelea zaidi kujikomba kwa Wanasiasa. 'Mvunja nchi ni Mwananchi mwenywe.
 
Zamani ili uwe mwandishi wa habari na mtangazaji, lazima usomee, uwe na kipaji na uwe na chombo cha kufanyia kazi, yaani media kama Redio, TV, gazeti. Ujio wa social media ume liberalize tasnia ya habari, kila simu janja ni media, kila mtu sasa ni mwandishi wa habari, ni reporters, ni mtangazaji, sio lazima kwenda shule wala kujua kusoma na kuandika!, unachohitaji ni simu janja na bando tuu!.
Kiukweli kabisa fani imevamiwa!.
P
Sasa nashukuru kwamba umejijibu kwa usahihi. DJ JD ni DJ kweli, ila ana kipaji cha utangazaji, ana access na radio kadhaa. Hivyo kwake kujiunga Clouds kwenye Jahazi ni jambo sahihi
 
Kwangu mimi jihn dilinga matlow ni second best of all time baada ya masud masud

Kumfananisha na marehemu umempunja
 
Madhara ya uchawa!! Wanauliza maswali mepesi ili wapate huruma ya kuteuliwa na viongozi.
Wakati mwingine hawajui hata anachouliza fikiria mwandishi anasema eti ndg RC hii mvua unaionaje??? duh yaani hilo ni swali gani sasa??
kwanini hawa watu hawasomi,,??? wajipange suala la mvua kuharibu miundombinu sababu zake azijue sasa aulize mipango na mikakati ya Serikali kuzuia hali hiyo na namna ya kudhibiti madhara.
 
Back
Top Bottom