Kwa hiyo ukipiga haswaaa, siku ukifa ndio hakutawekwa mbadala wako!? Hiyo ni falsafa ya maisha "kufa kufaana". Hata Katiba ina provision kabisa ikitokea Rais kafariki arithiwe vipi, ndio wewe mshika mic studio usirithiwe!Kifo kweli hakina huruma, mtu hata bado hajazikwa tayari amesha patikana wa kuchukua nafasi yake kazini.
Aisee...kama ume ajiriwa ukipata nafasi ya kupiga we piga haswaaaaa.
Hakuna mtu wa kukuonea huruma hii dunia nimeamini.
Hapo sasa 😁Kwa hiyo ukipiga haswaaa, siku ukifa ndio hakutawekwa mbadala wako!? Hiyo ni falsafa ya maisha "kufa kufaana". Hata Katiba ina provision kabisa ikitokea Rais kafariki arithiwe vipi, ndio wewe mshika mic studio usirithiwe!
Siku hizi Ukisikiliza wanaojiita wandisha wa habari wanauliza Swali unatamani ujifukie...Hivi jameni ni nn kimetokea kwenye hii tasnia ya habari??
Halafu DJ JD Hana Njaa kama mwendazakeWatanzania wanahitaji elimu ya utangazaji, sio kila unayemuona kwenye mic ni mtangazaji!, John Dilinga Matlou ni DJ JD! Feel Good Kwa Kusikiliza "Old is Gold" -DJ JD, (John Dilinga Matlou), Anastahili Pongezi!.
- Isumba Lodge: Miaka 3 ya Return of The Legend, DJ JD, John Dilinga Matlou
- Tune In " Mtaa wa Mangoma" Radio One, The Legend, John Dilinga Matlou Ananikosha Sana!.
P
Madhara ya uchawa!! Wanauliza maswali mepesi ili wapate huruma ya kuteuliwa na viongozi.Siku hizi Ukisikiliza wanaojiita wandisha wa habari wanauliza Swali unatamani ujifukie...Hivi jameni ni nn kimetokea kwenye hii tasnia ya habari??
Walioharihu fani au tasnia hiyo ya habari ni wanahabari wenyewe. Badala ya wao kuwa WAANDISHI wa Habari wamegeuka na kuwa WAHANDISI wa Habari kwa kuendekeza Vibahasha vya Wanasiasa na watu wengine maarufu wenye ukwasi. Aidha, wengi wao hawapendi kwenda shule, wanaendekeza uchawa na kujikomba kwa watu wengine, hususani hupendelea zaidi kujikomba kwa Wanasiasa. 'Mvunja nchi ni Mwananchi mwenywe.Zamani ili uwe mwandishi wa habari na mtangazaji, lazima usomee, uwe na kipaji na uwe na chombo cha kufanyia kazi, yaani media kama Redio, TV, gazeti. Ujio wa social media ume liberalize tasnia ya habari, kila simu janja ni media, kila mtu sasa ni mwandishi wa habari, ni reporters, ni mtangazaji, sio lazima kwenda shule wala kujua kusoma na kuandika!, unachohitaji ni simu janja na bando tuu!.
Kiukweli kabisa fani imevamiwa!.
P
Sasa nashukuru kwamba umejijibu kwa usahihi. DJ JD ni DJ kweli, ila ana kipaji cha utangazaji, ana access na radio kadhaa. Hivyo kwake kujiunga Clouds kwenye Jahazi ni jambo sahihiZamani ili uwe mwandishi wa habari na mtangazaji, lazima usomee, uwe na kipaji na uwe na chombo cha kufanyia kazi, yaani media kama Redio, TV, gazeti. Ujio wa social media ume liberalize tasnia ya habari, kila simu janja ni media, kila mtu sasa ni mwandishi wa habari, ni reporters, ni mtangazaji, sio lazima kwenda shule wala kujua kusoma na kuandika!, unachohitaji ni simu janja na bando tuu!.
Kiukweli kabisa fani imevamiwa!.
P
Wakati mwingine hawajui hata anachouliza fikiria mwandishi anasema eti ndg RC hii mvua unaionaje??? duh yaani hilo ni swali gani sasa??Madhara ya uchawa!! Wanauliza maswali mepesi ili wapate huruma ya kuteuliwa na viongozi.