PreGE2025 John Heche achochea vurugu kwenye mikutano, wananchi wapokea kichapo na kuumizwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kila mtu ashinde mechi zake.
Haiwezekani mtu akaja mkutanoni kufanya vurugu yaani kwanini asibaki huko aliko hata Kama ni mwanachama anaekubaliana na Chama kingine basi vema akaenda kusema huko.
 
Kama ni kweli Jana Heche alisababisha Fujo singida kwanini jeshi la police halimkushikilia ? Wakat police walikuwepo eneo la tukio?
ndugu yangu waliogopa kushitakiwa na amsterdam EU
 
Kudhania kwamba Nchi nzima yenye watu milioni 65,wote wanakuunga mkono wewe na Chama chako hapo utakuwa huna tofauti na punguani.

Watu Wana mawazo,misimamo,hulka na itikadi tofauti!
Huwezi ukaja kwenye kufanya mkutano kwenye eneo letu la makazi,wewe ukiwa ndio mgeni,unafika na kuanza kutupangia Hadi Cha kusema!?
Tukisema tofauti na unachotaka unawaambia watu watupige?!
Hii haikubaliki,tusilee upumbavu.
 
Jaribu kutumia akili kufikiri badala ya kutumia kiharage chako kufikiri, itakusaidia maishani.
 
Clip.
 
Huu ukurasa wenye paragraph kadhaa utaeleweka kwa watumia vinyeo kufikiri lakini mwenye akili timamu ataona ni uzushi. We unaijua agenda ya CDM ktk kila kikao ni ipi. Then unaenda kwenye kikao chao kufanya nn km siyo kuwavuruga tu ilihali we unapingana nayo?? Itisha mkutano wako siku nyingine za kupinga na si kwenda kupeleka taharuki za maksudi. Zama za kudanganya umma ziliisha enzi za utawala wa kianalojia
 
Njoo kwenye mkutano wetu ulete huo ujinga wako tukupige mjegeje na wewe
 
Wananchi gani wanapigwa?
Wanapigwa wakiwa wamekosa nini?
 
No reforms no Elections
 
Kauli yake hii ilizua taharuki kubwa kwenye mkutano wake wa Singida ambao kwa asilimia kubwa wananchi walikua hawataki ajenda ya No Reforms No Election mpaka pale Polisi walipoingilia kati kunusuru zahma kutokea.
Ni wananchi wa upande upi?
 
Peleka pua yako na wewe upasuliwe
Hili Irene17 lazima litakuwa ni shetani juha. Limeleta mada yake ya kishenzi likiamini JF ina watu punguani.
Janamke shetani kama hili, litakuwa ni miongoni mwa yale mashetani yaliyofurahia mwanamke mwenzao kubakwa na yale matekaji.

Janamke kama hili lilaaniwe miele, yeye na kizazi chake.
 
Wewe
Kila mtu ashinde mechi zake.
Haiwezekani mtu akaja mkutanoni kufanya vurugu yaani kwanini asibaki huko aliko hata Kama ni mwanachama anaekubaliana na Chama kingine basi vema akaenda kusema huko.
Wewe ni mojawapo ya ma-CCM mliopo nyuma ya huu ujinga wa kutuma wahuni kwenda kuvuruga mikutano ya CHADEMA. wewe ni m*wa Kokomo usiyejitambua,kafiri mkubwa pumbavu sanaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…