Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,971
- 14,538
Duu 🤣🤣🤣🤣Licha ya kupewa kibali cha kufanyia mikutano ya hadhara kwa sharti la kulinda amani, lakini Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ameonekana kushindwa kutumia uhuru aliopewa na sasa ameanza kuamuru vijana wake kuanza kuwapiga wananchi wanaokwenda kuwasikiliza ajenda zao mfu za No Reforms No Election.
Kwanza hali ya hatari ya ilianza kuonekana kwenye mkutano uliofanyika Singida, ambapo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche aliwatishia wananchi waliokua na mawazo kinzani kuhusu Hoja yao ya No Reforms No Election na Heche alitamka kauli ambayo ingeweza kuleta maafa makubwa mno kama Jeshi la Polisi lisingekuwepo maeneo ya karibu pale.
Heche alitamka maneno yafutayo "Nyie vijana hapo mnajifanya mnapinga No Reforms No Election, nitawatuma vijana wetu wawafinye hadi mpotee"
Kauli yake hii ilizua taharuki kubwa kwenye mkutano wake wa Singida ambao kwa asilimia kubwa wananchi walikua hawataki ajenda ya No Reforms No Election mpaka pale Polisi walipoingilia kati kunusuru zahma kutokea.
Lakini Chizi huwa hasahau jalala lake, leo tena akiwa mkoani Tabora John Heche ameamuru vijana wake, kuwapiga wananchi waliokwenda kusikiliza hoja zisizo na uhalisia za kuzuia Uchaguzi Mkuu, akaagiza vijana wake kuwarushia mawe wananchi, ambapo mpaka muda huu kuna wananchi zaidi 25 wamejeruhiwa kwa sababu ya kupokea kichapo kwa sababu ya amri ya John Heche.
Umefika muda John Heche aseme wao kama CHADEMA hawawataki Watanzania waende kusikiliza hoja zao zilizokufa, ili waepukane na vichapo kwa sababu ya amri anazozitoa maana kama ni hivyo sasa kila anayekwenda kwenye huo mkutano hana uhakika kama atarudi na Ngeu au kupata ulemavu.
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURALicha ya kupewa kibali cha kufanyia mikutano ya hadhara kwa sharti la kulinda amani, lakini Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ameonekana kushindwa kutumia uhuru aliopewa na sasa ameanza kuamuru vijana wake kuanza kuwapiga wananchi wanaokwenda kuwasikiliza ajenda zao mfu za No Reforms No Election.
Kwanza hali ya hatari ya ilianza kuonekana kwenye mkutano uliofanyika Singida, ambapo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche aliwatishia wananchi waliokua na mawazo kinzani kuhusu Hoja yao ya No Reforms No Election na Heche alitamka kauli ambayo ingeweza kuleta maafa makubwa mno kama Jeshi la Polisi lisingekuwepo maeneo ya karibu pale.
Heche alitamka maneno yafutayo "Nyie vijana hapo mnajifanya mnapinga No Reforms No Election, nitawatuma vijana wetu wawafinye hadi mpotee"
Kauli yake hii ilizua taharuki kubwa kwenye mkutano wake wa Singida ambao kwa asilimia kubwa wananchi walikua hawataki ajenda ya No Reforms No Election mpaka pale Polisi walipoingilia kati kunusuru zahma kutokea.
Lakini Chizi huwa hasahau jalala lake, leo tena akiwa mkoani Tabora John Heche ameamuru vijana wake, kuwapiga wananchi waliokwenda kusikiliza hoja zisizo na uhalisia za kuzuia Uchaguzi Mkuu, akaagiza vijana wake kuwarushia mawe wananchi, ambapo mpaka muda huu kuna wananchi zaidi 25 wamejeruhiwa kwa sababu ya kupokea kichapo kwa sababu ya amri ya John Heche.
Umefika muda John Heche aseme wao kama CHADEMA hawawataki Watanzania waende kusikiliza hoja zao zilizokufa, ili waepukane na vichapo kwa sababu ya amri anazozitoa maana kama ni hivyo sasa kila anayekwenda kwenye huo mkutano hana uhakika kama atarudi na Ngeu au kupata ulemavu.
Imagine wazazi wako wangetumia condom...? Huu uzi wako wa kijinga tusingeuona hapa!Licha ya kupewa kibali cha kufanyia mikutano ya hadhara kwa sharti la kulinda amani, lakini Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ameonekana kushindwa kutumia uhuru aliopewa na sasa ameanza kuamuru vijana wake kuanza kuwapiga wananchi wanaokwenda kuwasikiliza ajenda zao mfu za No Reforms No Election.
Kwanza hali ya hatari ya ilianza kuonekana kwenye mkutano uliofanyika Singida, ambapo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche aliwatishia wananchi waliokua na mawazo kinzani kuhusu Hoja yao ya No Reforms No Election na Heche alitamka kauli ambayo ingeweza kuleta maafa makubwa mno kama Jeshi la Polisi lisingekuwepo maeneo ya karibu pale.
Heche alitamka maneno yafutayo "Nyie vijana hapo mnajifanya mnapinga No Reforms No Election, nitawatuma vijana wetu wawafinye hadi mpotee"
Kauli yake hii ilizua taharuki kubwa kwenye mkutano wake wa Singida ambao kwa asilimia kubwa wananchi walikua hawataki ajenda ya No Reforms No Election mpaka pale Polisi walipoingilia kati kunusuru zahma kutokea.
Lakini Chizi huwa hasahau jalala lake, leo tena akiwa mkoani Tabora John Heche ameamuru vijana wake, kuwapiga wananchi waliokwenda kusikiliza hoja zisizo na uhalisia za kuzuia Uchaguzi Mkuu, akaagiza vijana wake kuwarushia mawe wananchi, ambapo mpaka muda huu kuna wananchi zaidi 25 wamejeruhiwa kwa sababu ya kupokea kichapo kwa sababu ya amri ya John Heche.
Umefika muda John Heche aseme wao kama CHADEMA hawawataki Watanzania waende kusikiliza hoja zao zilizokufa, ili waepukane na vichapo kwa sababu ya amri anazozitoa maana kama ni hivyo sasa kila anayekwenda kwenye huo mkutano hana uhakika kama atarudi na Ngeu au kupata ulemavu.
Heche na Lissu ni vichaa wanaojua kuvaa nguo.
Ustaarabu Gani?Ninadhani tuwe tu wastaarabu na kuvumiliana. Kama unaona mkutano ni wa itikadi tofauti achana nao usiende. Mbona CHAUMMA walihutubia zao ng'ombe na hakukuwa na tafrani yoyote? Hakuna haja ya kwenda kugombana.
Nenda kamkamate Keyboard warrior No reform No electionAkamatwe mara moja kesi yake iendeshewe hukohuko Tabora akae mahabusu ya gereza la hukohuko
Umesikiliza hii, Samia anatafuta watu KWA NGUVU wakuhudhuria mikutano yake huko Simiyu. HAUZIKI, HAKUBALIKI ni huzuni kwa kweli.Licha ya kupewa kibali cha kufanyia mikutano ya hadhara kwa sharti la kulinda amani, lakini Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ameonekana kushindwa kutumia uhuru aliopewa na sasa ameanza kuamuru vijana wake kuanza kuwapiga wananchi wanaokwenda kuwasikiliza ajenda zao mfu za No Reforms No Election.
Kwanza hali ya hatari ya ilianza kuonekana kwenye mkutano uliofanyika Singida, ambapo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche aliwatishia wananchi waliokua na mawazo kinzani kuhusu Hoja yao ya No Reforms No Election na Heche alitamka kauli ambayo ingeweza kuleta maafa makubwa mno kama Jeshi la Polisi lisingekuwepo maeneo ya karibu pale.
Heche alitamka maneno yafutayo "Nyie vijana hapo mnajifanya mnapinga No Reforms No Election, nitawatuma vijana wetu wawafinye hadi mpotee"
Kauli yake hii ilizua taharuki kubwa kwenye mkutano wake wa Singida ambao kwa asilimia kubwa wananchi walikua hawataki ajenda ya No Reforms No Election mpaka pale Polisi walipoingilia kati kunusuru zahma kutokea.
Lakini Chizi huwa hasahau jalala lake, leo tena akiwa mkoani Tabora John Heche ameamuru vijana wake, kuwapiga wananchi waliokwenda kusikiliza hoja zisizo na uhalisia za kuzuia Uchaguzi Mkuu, akaagiza vijana wake kuwarushia mawe wananchi, ambapo mpaka muda huu kuna wananchi zaidi 25 wamejeruhiwa kwa sababu ya kupokea kichapo kwa sababu ya amri ya John Heche.
Umefika muda John Heche aseme wao kama CHADEMA hawawataki Watanzania waende kusikiliza hoja zao zilizokufa, ili waepukane na vichapo kwa sababu ya amri anazozitoa maana kama ni hivyo sasa kila anayekwenda kwenye huo mkutano hana uhakika kama atarudi na Ngeu au kupata ulemavu.
Huyu Heche Kaka yake Heche Suguta alikuwa mgomvimgomvi hivihivi na majibu yake aliyapata alipochezea mahali pasipostahili. Basi yeye John Heche!Licha ya kupewa kibali cha kufanyia mikutano ya hadhara kwa sharti la kulinda amani, lakini Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ameonekana kushindwa kutumia uhuru aliopewa na sasa ameanza kuamuru vijana wake kuanza kuwapiga wananchi wanaokwenda kuwasikiliza ajenda zao mfu za No Reforms No Election.
Kwanza hali ya hatari ya ilianza kuonekana kwenye mkutano uliofanyika Singida, ambapo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche aliwatishia wananchi waliokua na mawazo kinzani kuhusu Hoja yao ya No Reforms No Election na Heche alitamka kauli ambayo ingeweza kuleta maafa makubwa mno kama Jeshi la Polisi lisingekuwepo maeneo ya karibu pale.
Heche alitamka maneno yafutayo "Nyie vijana hapo mnajifanya mnapinga No Reforms No Election, nitawatuma vijana wetu wawafinye hadi mpotee"
Kauli yake hii ilizua taharuki kubwa kwenye mkutano wake wa Singida ambao kwa asilimia kubwa wananchi walikua hawataki ajenda ya No Reforms No Election mpaka pale Polisi walipoingilia kati kunusuru zahma kutokea.
Lakini Chizi huwa hasahau jalala lake, leo tena akiwa mkoani Tabora John Heche ameamuru vijana wake, kuwapiga wananchi waliokwenda kusikiliza hoja zisizo na uhalisia za kuzuia Uchaguzi Mkuu, akaagiza vijana wake kuwarushia mawe wananchi, ambapo mpaka muda huu kuna wananchi zaidi 25 wamejeruhiwa kwa sababu ya kupokea kichapo kwa sababu ya amri ya John Heche.
Umefika muda John Heche aseme wao kama CHADEMA hawawataki Watanzania waende kusikiliza hoja zao zilizokufa, ili waepukane na vichapo kwa sababu ya amri anazozitoa maana kama ni hivyo sasa kila anayekwenda kwenye huo mkutano hana uhakika kama atarudi na Ngeu au kupata ulemavu.
Soma tena comment yangu au lah hili unambie sio jibu languWewe
Wewe ni mojawapo ya ma-CCM mliopo nyuma ya huu ujinga wa kutuma wahuni kwenda kuvuruga mikutano ya CHADEMA. wewe ni m*wa Kokomo usiyejitambua,kafiri mkubwa pumbavu sanaaaa