PreGE2025 John Heche achochea vurugu kwenye mikutano, wananchi wapokea kichapo na kuumizwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
We kweli ni bogus
Halafu mwanamke
Mmh
 
DAAAA HECHE ANA VIJANA WAKUFINYA WATU? HUYU AFUNGIWE KUFANYA MIKUTANO HARAKA SANA HAFAI ATALETA MAAFA
Jamaa ana mihemko ya Kikurya na kujiona yeye yupo juu ya wengine..Ogopa mwanasiasa anajiita eti yeye ni Simba mura.
 
Ustaarabu Gani?
Mbona kwenye mikutano ya chaumma wanaenda watu wa chadema na wanasema slogan zao na hakuna anayewazuia?
Kwa nini wakienda wengine kwenye mkutano wa chadema na wanakasema slogan zao waonekane wanaleta vurugu au wametumwa?
Kosa halisahihishwi kwa kosa lingine. Kama na CHADEMA hufanya hivyo basi waache ili kuepusha vurugu. Hivyo ni vitendo vya kihuni bila kujali vyama.
 
Heche ni pimbi mmoja tu , hivi kuna Mtanzania anatarajia kuongozwa na Heche? jamaa anajioana kama yeye ni magufuli amekuwa resurrected SMH.
Upimbi unao wewe kichwani mwako. Usihamishie upimbi wako kwa wenngine wenye utimamu
 
Mmeona mikutano na movement NRNE ni tishio zaidi, sasa mmeamua kutengeneza vurugu ili mpate uhalali wa kuzuia mikutano ya Chadema. Na bado mahakama imetoa zuio. Yani mnahangaika sana ila mwisho wenu upo palepale.
 
Nadhani walopokea kipigo ni vijana waliolipwa na ccm kuvuruga mikutano ya no reforms no election. Hao vijana Acha wachapwe maana NRNE ni kwa maslahi mapana ya taifa
Mkiwapiga mnakuwa na tofauti gani na CCM? Mkishika dola hamtatumia vyombo vya dola kuwapiga? Kama ni kuwatoa watoeni, ila "kuwafinya" ni ushenzi.
 
Andishi refu lakini pumba tu
 
Mkiwapiga mnakuwa na tofauti gani na CCM? Mkishika dola hamtatumia vyombo vya dola kuwapiga? Kama ni kuwatoa watoeni, ila "kuwafinya" ni ushenzi.
Utawatoaje watu waliokuja na silaha bila kuwafinya?
Hao machawa wanaotumika kwenye vurugu ipo siku watauawa, nawaonya waache kutumika
 
SAUTI INAYOSIKIKA KWENYE HIZI VIDEO NI SAUTI YA MKUU WA WILAYA YA MASWA.

"Idd Amin Mama anatarajia kuwa na ziara Mkoa wa Simiyu kuanzia June 16, 2025 sasa hapa Mkuu wa Wilaya alikuwa kwenye kikao na watumishi wa umma akiwaelekeza maagizo aliyopewa na Mkuu wa Mkoa Simiyu Kenan Kiongosi ili kufanikisha ziara ya Idd Amin Mama kwenye Mkoa wao.

Kenan Kihongosi ameamuru kila Wilaya iliyopo ndani ya Mkoa wa Simiyu ichangie Ng'ombe 136, magunia ya mchele,maharage na fedha taslimu.

Kenan Kawaambia maDC kwamba wanaotakiwa kutoa izo Ng'ombe, magunia ya michele, maharage na fedha taslimu ni WADC yani Maafisa Elimu Kata, Wakuu wa Shule, Walimu Wakuu, Watendaji Kata, Maofisa wa Kata, Maafisa Ugavi, Waganga Wafawidhi n.k

Halafu kila Wilaya ya Mkoa wa Simiyu wameambiwa wakusanye Vijana 15,000 na kuwaweka kambini kusubiri mikutano ya Idd Amin Mama wakajaze viwanja vya mikutano,
hizo pesa Taslimu ndo zitakuwa zinatumika kukodisha mafuso ya kuwabebea hao vijana 15,000.

Na kwenye izo kambini ndo watakuwa wanakula hao ngo'mbe na hiyo michele na mandondo halafu hao Vijana watakuwa wanazunguka kila wilaya atakakokuwa anaenda Idd Amini Mama lengo ni mikutano isikose watu wanataka ionekane iko na nyomi ya kutosha.

Ukisikiliza Mkuu wa Wilaya ya Maswa anaelezea jinsi ambavyo waliwahi kukosa watu kwenye moja ya mikutano yao sasa anasema hawataki aibu ijirudie, anawaambia kwamba kipindi chote ambacho Idd Amin Mama atakuwa Simiyu ofisi zote za Serikali kazi zitasimama na watumishi wa Umma wote lazima waende kwenye Ziara ya Idd Amini Mama eti wao ndo wanapaswa kuwa walinzi wa kwanza wa Idd Amin Mama.

Hii ni dalili ya kwamba Idd Amin Mama hakubaliki kabisa kwa Wananchi ndo maana Serikali kupitia kwa Mkuu wa Mkoa wanatumia nguvu mpaka kulazimisha watumishi kutoa michango ili kupata watu wakujaza Mikutano yao maana wanajua wakisubiri watu waende uwanjani kwa hiyari yao hawatotokea".

CCM ipo kwenye haatua za mwisho kabisa kupotea kama ilivyokuwa kwa KANU huko Kenya. NO REFORMS, NO ELECTION 2025.
 
Wewe binti,kalale kabla muda wa kwenda kudanga barabarani haujafika. Wanaotekwa na kuuawa ni sisi wanaume hivyo ni sisi ndio tunaoteswa na siyo wewe.
 


Acha uongo. Huyu Mama anajali familia yake usijidanganye na kufikiri uchawa utakusaidia. Pesa ambayo ingetumia kukusaidia wewe na familia yako ziko Dubai na Oman. Wenyewe wakiumwa wanaenda ulaya wewe unabaki unashanbikia watu ambao wanaiba kura, walarushwa halafu unafikiri wanakujalli. Fungueni macho hawa watu wanawatetea nyie na maslahi yenu. acheni kuwa misukule
 
Sidhani kuwa unakielewa ulicho andika mwenyewe hapa.
 
Take that head of yours outya ass and use it.
 
2010 pale viwanja vya Mkendo siku moja ya campaign ya mgombea ubunge kupitia CDM alipokuwa akitarajia kufanya mkutano pale basi saa nne asubuhi tu wahuni wa namna hiyo waliokuwa WAKIDHAMINIWA na mgombea ubunge kupitia CCM na timu yake wakatimba pale na kuanzisha vurugu.

Niseme tu ukweli kwamba mmoja kati ya hao WAPUMBAVU ambaye miguu yake ilimsaliti alibadilishiwa status pale pale ndani ya dakika kumi tu na kuwa MAREHEMU na huo ndio ukawa MWISHO wa kushuhudia vurugu kwenye mikutano ya kisiasa Mjini MUSOMA.
 
Unaoneka weee una tabia za kiseng
 
Shule zifunguliwe tuache kusumbuliwa na vitoto vya afumbili.
 
Walienda kusikiliza hoja zao zilizokufa?
 

Attachments

  • Screenshot_20250608-004118.jpg
    395.8 KB · Views: 21
Wewe ni kiazi sana.
Yaani huna ulijualo!
 
Una mchango gani kwa familia zilizopotelewa na wapendwa wao,huku watuhumiwa wakijitambulisha polisi,na nyie mnasema wasiojulikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…