PreGE2025 John Heche achochea vurugu kwenye mikutano, wananchi wapokea kichapo na kuumizwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
DAAAA HECHE ANA VIJANA WAKUFINYA WATU? HUYU AFUNGIWE KUFANYA MIKUTANO HARAKA SANA HAFAI ATALETA MAAFA
No reform no election. Hiyo iwe ni pamoja na kuheshimiana huna heshima,unanivunjia heshima ila unataka kuheshimiwa!Alaaa! No reform no election
 
She's just a "member" to JF. 😁
Welcome right here baby girl.
 
Wenzako wanawaza kwa kutumia ubongo , mwenzetu ubongo wako umekwishafumuliwa na wahuni kwa hiyo unatembea empty mind. Ulichoandika ni uharo wa bata
 
Acha kuandika ujinga hapa
 
Acha ujinga,ujinga ni mzigo utuambie huu ni mkutano wa ngapi kwa heche hajawahi fanya huu upuuzi unaosema,sisiemu mezidiwa na kete ya no reforms no election wananchi wanaiunga mkono,halafu mnawatuma wahuni kuja kuvuruga mkutano wa wananchi wanaokubaliana na hakuna uchaguzi bila mabadiliko, mtu akija kukudhuru lazma ujihami acha ufala wewe
 
Mijitu mijinga sana ,yani unaenda kwenye mkutano wa chama kingine kwa lengo la kuleta fujo na sio kusikiliza kisa kuaidiwa utapeli ,nani atakubali viongozi wao kuumizwa .
Huwezi kwenda kwenye mikutano ya watu kwa lengo la kuwasikiliza kaa kwako.

Huu ujinga ufe mara moja
 
Meee mmbwaa
 
Tunashukuru Mungu kwa maendeleo ya Teknolojia jaribu kuwaza kama pasingekuwa na Youtube na kuona haya mambo live. Halafu unakutana na hadithi kama hii.

CCM wajue tu hawataweza kushindana na nyakati. Majira ya propoganda na uongo yamepitwa wakati
Kabisa
 
Mtu yeyote anaye ***** huwa hana akili ,yaani anaamini wote wanaakili ndogo kama yeye.
 
Irine
Umetumia muda hata kidogo kujiuliza ni Kwanini Mikutano hii iliofanyiwa fujo haikupewa Askari wa kulinda?
Umejiuliza ni kwanini waliovamia na kuleta fujo ni viongozi wa serikali za vitongozi?
 
Chadema ina ombwe la uongozi.Nguvu nyingi akili kama golori ya baikeli
 
We mwongo hao vijana walivamia mkutano kwa lengo la kuvuruga mkutano.
 
na mtapigwa hadi mtolewe meno nyie vijana wa lumumba

NO REFORM NO ELECTION
 
Ccm bado mnatumia mbinu za kizamani ile mbaya kuhujumu vyama vya upinzani vya kweli. Hizo mbinu zilikuwa zikitumika ulaya mashariki ya zamani, madictator wa huko walikuwa wanatuma vijana kwenda kufanya fujo kwenye mikutano ya wapinzani ili ionekane kuna vurugu, na wapate sababu ya kuwazuia wapinzani wao kufanya siasa. Naona nyie ndio mnaona ni mbinu mpya kwelikweli.
 
HIVI UNAHISI YOUTUBE,IG,X ZINAKAZI GANI? UNAONA BINADAMU WAJINGA??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…