Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii hapa ndio hali halisi kwenye mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Tarafa, Sirari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdogo wangu heche, mambo ni era tu, si kama mwana FA kandikiwa sera na hata kuzisoma tu hawezi.Hii hapa ndio hali halisi kwenye mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Tarafa , SirariView attachment 1558421View attachment 1558422View attachment 1558423View attachment 1558424View attachment 1558425
DODOMA ndiyo mkoa namba 1 kwa watu wake kutojitambua ule upofu wao umeingia Hadi Kwenye vichwa vyaoMbona Heche kajaza kuliko lissu Dodoma?
Kule ulisemaje?Kwa akili zile za Waitara bora Heche achukue jimbo!
Umeniwahi mkuuMbona Heche kajaza kuliko lissu Dodoma?
Nimeahuhudia mkibeba watu kwa malori kutoka miji ya jiraniHii hapa ndio hali halisi kwenye mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Tarafa , SirariView attachment 1558421View attachment 1558422View attachment 1558423View attachment 1558424View attachment 1558425
utakuwa ulienda kudanga si kawaida lako uwe kwenye mikutano ya upinzani bibieNimeahuhudia mkibeba watu kwa malori kutoka miji ya jirani