Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Mkuu huyu jamaa harudi. Isevu hii comment yako. Tarafa ya engwe ameleta madumu ya kunawia mikono wakati wa korona , hakuna alichofanya hiyo tarafa labda ile laki 5 aliyochanga mabinti wajengewe bweni LA kulala. Mbunge mzima anachanga Hela ya maendeleo ambayo hata anayohonga ni kubwa. MIE na hapo ningeweza hata changa 2M na Sina cheo chochoteHeche anasubiri kuapishwa, na lazima ataapishwa, hapo hakuna mjadala, watu wa Tarime hawapendi michezo ya kitoto.