Uchaguzi 2020 John Heche aifuta CCM Tarime, hakuna namna Waitara anaweza kuwa Mbunge wa Tarime Vijijini, atavuna alichopanda

Uchaguzi 2020 John Heche aifuta CCM Tarime, hakuna namna Waitara anaweza kuwa Mbunge wa Tarime Vijijini, atavuna alichopanda

#DODOMA HIYOO KWA LISSU KULE!
JamiiForums389780329.jpg
JamiiForums1103051282.jpg
 
Heche anasubiri kuapishwa, na lazima ataapishwa, hapo hakuna mjadala, watu wa Tarime hawapendi michezo ya kitoto.
Kule MNEC alishasema kila mtu apambane na hali yake. Hakuna mbeleko kule vinginevyo unachinjwa mchana kweupe.
 
Back
Top Bottom