John Heche akutana na Tundu Lissu Nchini Italia

Mungu zidi kuibariki CHADEMA [emoji1752][emoji1545]
 
Achana na mbwembwe za Mwigulu. CAG report ya 2020/2021 inaonesha deni bado lipo.
 
YOU KNOW less chimba zaidi uone
 
TRAB na TRAT.
 
Naona lisu anamtafutia heche mabwana huko italia. Nina maana mabwana wa kumgeuza kibaraka wa kuwafanyia kazi mabeberu wa magharibi kama alivyo yeye mwenyewe. Of cause kuna yule dalali shoga amsterdam anawashauri jinsi ya kutumika vizuri kama vibaraka wa ubeberu.
 
Mama yako ni Bora angekunya kinyesi kuliko kutuzalia takataka kama wewe
 
JPM na Samia wameshindwa pamoja na majeshi yote ndio aweze Heche? acheni porojo zisizo na kichwa Wala miguu!! Jipangeni 2025 sijui mtawaambia nini wananchi maana hakuna mlichofanya ilihali mna bunge, serikali, na madiwani woteee!
 
Unazungumzia wananchi wapi? Mbowe miezi 8 jela, uliona hata panya wakiandamana?
 
Wewe hakika ni kiazi kabisa kama unaamini hivyo kuwa hicho kiasi tulicholipwa kama unavyodai kinaendana na madai halisi nadhani siyo bure utakuwa matatizo kichwani jichunguze Mkuu unaweza ukawa miongoni mwawatanzania wachache wenyeugonjwa wa akili Amini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…