BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Tukiwagusa Acacia tutashitakiwa MIGA alisikika Lisu msomi aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania lakini badala yake tukaja kulipwa billion 700 na Acacia ikafutwa na ikaundwa kampuni mpya ya Twiga ambayo Tanzania tuna hisa 16% na kwenye top management ya kampuni wapo watanzania.
Kupitia kampuni mpya ya Twiga Watanzania wameendelea kupata gawio la mabilioni ya fedha kila mwaka zinazotokana na mauzo ya madini. Lisu alilipwa na nani kuwadanganya Watanzania?
Lisu ni msaliti anayejiamini sana
Bilioni 700 over Trilioni 360? LOL!