Katibu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 16, 2025
- 489
- 119
Heche anaweza kuukwaa urais,shida ni mwehu Lissu.Huu ni muandiko wa MEMKWA bila shaka
Wewe ni punguani,jibu hojaHuu ni muandiko wa MEMKWA bila shaka
Kama umekwenda shule basi huko ulienda kusomea ujinga.Umofia wakuu...
Katika ulimwengu tangu kale,jamii zote hupitia vipindi tofauti mara zote,Msosholojia Auguste Comte aliwahi kuzitaja kuwa ni metaphysical,religious na positive science.
Hali hizo pia kwa wataalamu wa siasa na utawala tunakubaliana kuwa chadema imepitia vipindi hivyo tangu kuundwa kwake.Mzee Mtei alikiacha kwa Bob Makani,Makan akamuachia Mbowe,na Mbowe akamuachia Tundu Lissu.
Lissu amewekwa kizuizini lakini Heche anaendelea vema sana na kazi bila Lissu,na kiukweli uwezo wa Heche ni mara 3 ya Lissu.Katika siasa kunahitaji maamuzi magumu,Heche anapaswa kufanya maamuzi magumu sana ili kuipeleka chadema Kushika dola kama ilivyo malengo yake.Heche fanya mageuzi haraka,lissu atatoka baadae na utaungana nae ila kwa sasa wewe unapaswa kuwa Mwenyekiti na Lema awe makamu wako jambo ambalo litawasaidia ka isa kufocus na harakat kuliko kushinda mahakamani.
Heche uamuzi ni wako,Upinzani kushika dola wewe ndio mwenye ufunguo,nakutakia kila lakheri.
Asalam aleykum kwa waamini wote.
Mimi maoni yangu ni kuwa Lissu hafai kabisa,Heche amemzid Lissu uwezoKatiba ya chadema inasemaje?
Tupu guze utoto jamani
Mbona mbowe alifungwa na hatukuyasikia haya
Wewe ndio mjinga na familia yakoKama umekwenda shule basi huko ulienda kusomea ujinga.
Unadhani lema anvowatuma muue watu ndio wote wanatumwaMsijibu hawa watu wanetumwa
Lema ndie ameratibu kumteka DjumbeUnadhani lema anvowatuma muue watu ndio wote wanatumwa
Dogo wewe ni mpumbavu kama wanakulipa buku 7 basi na anayekulipa ni bwege.Wewe ndio mjinga na familia yako
unaona kuna hoja gani hapo wewe kima mzeeWewe ni punguani,jibu hoja
Baaaaaasii baada ya kuona huu muandiko wako hapo mwisho nimegundua hakuna uhalisia kweny hoja yako bali ni chuki dhidi ya akili kubwa lissu!!Heche anaweza kuukwaa urais,shida ni mwehu Lissu.
Nitajie mmoja huko ccm anaeweza kumshinda Lissu kinyume na kutumia nguvu za dola.Heche anaweza kuukwaa urais,shida ni mwehu Lissu.
Jitambulishe vyemaa ni katibu mkuu wa chama uchochoroni ama chama kesi za uhaini?Baada ya utambulisho tuma salamu kwa waendesha kesi feki za uihaini kufumba mdomo wazalendo wa tasifa hili!Umofia wakuu...
Katika ulimwengu tangu kale,jamii zote hupitia vipindi tofauti mara zote,Msosholojia Auguste Comte aliwahi kuzitaja kuwa ni metaphysical,religious na positive science.
Hali hizo pia kwa wataalamu wa siasa na utawala tunakubaliana kuwa chadema imepitia vipindi hivyo tangu kuundwa kwake.Mzee Mtei alikiacha kwa Bob Makani,Makan akamuachia Mbowe,na Mbowe akamuachia Tundu Lissu.
Lissu amewekwa kizuizini lakini Heche anaendelea vema sana na kazi bila Lissu,na kiukweli uwezo wa Heche ni mara 3 ya Lissu. Katika siasa kunahitaji maamuzi magumu,Heche anapaswa kufanya maamuzi magumu sana ili kuipeleka Chadema Kushika dola kama ilivyo malengo yake.
Heche fanya mageuzi haraka, Lissu atatoka baadae na utaungana nae ila kwa sasa wewe unapaswa kuwa Mwenyekiti na Lema awe makamu wako jambo ambalo litawasaidia ka isa kufocus na harakat kuliko kushinda mahakamani.
Heche uamuzi ni wako,Upinzani kushika dola wewe ndio mwenye ufunguo,nakutakia kila lakheri.
Asalam aleykum kwa waamini wote.
Anzisha chama chako Heche awe mwenyekiti, na Lisu akitaka kujiunga usimkubalie.Mimi maoni yangu ni kuwa Lissu hafai kabisa,Heche amemzid Lissu uwezo
Wewe umeona wapi tahqruki?Acha kutaka kutengeneza taharuki na mpasuko
Wewe hauna uelewa,unaoneka umefika chuo kikuu,ila uelewa wako ni duni sana ndio maana unafanya kazi kwa mhindiJitambulishe vyemaa ni katibu mkuu wa chama uchochoroni ama chama kesi za uhaini?Baada ya utambulisho tuma salamu kwa waendesha kesi feki za uihaini kufumba mdomo wazalendo wa tasifa hili!