John Heche Anaweza: Kikwazo Chake ni Lissu

Baaaaaasii baada ya kuona huu muandiko wako hapo mwisho nimegundua hakuna uhalisia kweny hoja yako bali ni chuki dhidi ya akili kubwa lissu!!
Lissu tapeli nani amuonee wivu,hapa wizaran naweza kumlisha lisu na lema mwaka mzima
 
Tunaangalia maslahi ya chama na nchi kwa ujumla. Sio Heche kuupata uraisi tu.

Hayo mageuzi kwasasa huoni yataleta mkanganyiko ndani ya chama ? kipindi hiki cha muhimu zaidi ni kuleta watu pamoja.

Chadema hatuwezi kuchukua dola wakati mwenyekiti yupo gerezani. USALITI.
 
Mnahitaji mtu aliye huru,mpeni heche uenyekiti alafu aongoze mapambano kamili
 
Ni wazi humfahamu heche,heche ni zero na qnatembelea nyota ya Lissu na chadema.Japo mie sina chama lakini namfahamu sana heche kwani ameishi hapa Mwanza.Hana uwezo wa kuongoza hata familia yake
 
Heche anaweza kuukwaa urais,shida ni mwehu Lissu.
Mwigulu na Nchimbi itakuwaje sasa? Mwigulu alikuwa akishinda mitandaoni kumchafufua Makamba katumia mamilioni kafanikiwa,lakini inaonekana kagonga mwamba kwa Nchimbi,labda afanye kile kimchezo kilichokuwa kikiondowa vigogo wa Ikulu kipindi cha Magufuli, kama zinawiva na mtaalam Kikwete na Rostam.
 
Ni wazi humfahamu heche,heche ni zero na qnatembelea nyota ya Lissu na chadema.Japo mie sina chama lakini namfahamu sana heche kwani ameishi hapa Mwanza.Hana uwezo wa kuongoza hata familia yake
Basi achukue Boniyai
 
We anzisha uzi wako useme,mi nawashauri nyumbu na wenzao
 
Divide and rule, for your information they're building the same house hizo mbinu za kuwaletea mvurugano shouldn't be entertained.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…