Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche leo Aprili 8, 2025, amelazimika kufanya mkutano wake nyumbani kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tunduru Kaskazini Mzee Mandunda Mandunda, kilomita 2 kutoka mjini baada ya kukosa uwanja wa kufanyia mkutano kutokana na uongozi wa Wilaya ya Tunduru kugoma kuwapa kibali cha kufanya mkutano kwenye viwanja vya wazi kwa madai maeneo hayo hayana usalama wa kutosha.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kutokana na kukosa uwanja mkutano huo kwa sasa unafanyika kwenye uwanja wa nyumba ya Mzee Mandunda kando ya barabara hali inayohatarisha usalama wa wananchi waliofika kumsikiliza Makamu Mwenyekiti huyo.