Hiyo wilaya ina viongozi wapuuzi sana, vilaza watupu!
Hiyo wilaya ina viongozi wapuuzi sana, vilaza watupu!
Ahahahahaha! Labda wewe.Heche hata akienda kufanyia chooni wananchi watamfuata kwa gharama zao
Mteule,anatetea ugali wake.Katika hali isiyokuwa ya kawaida Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche leo Aprili 8, 2025, amelazimika kufanya mkutano wake nyumbani kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tunduru Kaskazini Mzee Mandunda Mandunda, kilomita 2 kutoka mjini baada ya kukosa uwanja wa kufanyia mkutano kutokana na uongozi wa Wilaya ya Tunduru kugoma kuwapa kibali cha kufanya mkutano kwenye viwanja vya wazi kwa madai maeneo hayo hayana usalama wa kutosha.
Kutokana na kukosa uwanja mkutano huo kwa sasa unafanyika kwenye uwanja wa nyumba ya Mzee Mandunda kando ya barabara hali inayohatarisha usalama wa wananchi waliofika kumsikiliza Makamu Mwenyekiti huyo.
View attachment 3297004
Huyo ni mwanaccm kwahiyo anabaraka zote za ccm.Huku Sasa sio penyewe kuanza kunyima watu uhuru wa mikutano sio sawa na Wala sio sera za CCM Wala Mama Samia,
Tusimchafue mama huyu,
Nadhani huyo aliyowanyima watu uwanja ashughulikiwe kabla ya yote
Hiki kichwa kiliwaweka wazi kwenye mahojiano ya ITV hadi aibu.Katika hali isiyokuwa ya kawaida Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche leo Aprili 8, 2025, amelazimika kufanya mkutano wake nyumbani kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tunduru Kaskazini Mzee Mandunda Mandunda, kilomita 2 kutoka mjini baada ya kukosa uwanja wa kufanyia mkutano kutokana na uongozi wa Wilaya ya Tunduru kugoma kuwapa kibali cha kufanya mkutano kwenye viwanja vya wazi kwa madai maeneo hayo hayana usalama wa kutosha.
Kutokana na kukosa uwanja mkutano huo kwa sasa unafanyika kwenye uwanja wa nyumba ya Mzee Mandunda kando ya barabara hali inayohatarisha usalama wa wananchi waliofika kumsikiliza Makamu Mwenyekiti huyo.
View attachment 3297004
Wajinga kama wewe bado mpo wengiPropaganda hiyo wananchi wamekwenda shamba msimu wa mvua amekosa watu.....
Ndio zaoHuku Sasa sio penyewe kuanza kunyima watu uhuru wa mikutano sio sawa na Wala sio sera za CCM Wala Mama Samia,
Tusimchafue mama huyu,
Nadhani huyo aliyowanyima watu uwanja ashughulikiwe kabla ya yote
Aonyeshe kibali Cha kufanya mkutanoKatika hali isiyokuwa ya kawaida Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche leo Aprili 8, 2025, amelazimika kufanya mkutano wake nyumbani kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tunduru Kaskazini Mzee Mandunda Mandunda, kilomita 2 kutoka mjini baada ya kukosa uwanja wa kufanyia mkutano kutokana na uongozi wa Wilaya ya Tunduru kugoma kuwapa kibali cha kufanya mkutano kwenye viwanja vya wazi kwa madai maeneo hayo hayana usalama wa kutosha.
Kutokana na kukosa uwanja mkutano huo kwa sasa unafanyika kwenye uwanja wa nyumba ya Mzee Mandunda kando ya barabara hali inayohatarisha usalama wa wananchi waliofika kumsikiliza Makamu Mwenyekiti huyo.
View attachment 3297004
Mashamba huko kusini yako hapo tu kwenye mkutano wa cdm?Propaganda hiyo wananchi wamekwenda shamba msimu wa mvua amekosa watu.....
Zito alikuja na hizohizo za G55, leo hii ameona uhalisia wa siasa za nchi hii.Halafu kuna kikundi kinajiita G55 kinachukulia mambo ni mepesi, badala ya kuungana na viongozi wao wa taifa kushinikiza haki, uhuru na uwazi.
Maccm yana upumbavu mwingi sanaKatika hali isiyokuwa ya kawaida Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche leo Aprili 8, 2025, amelazimika kufanya mkutano wake nyumbani kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tunduru Kaskazini Mzee Mandunda Mandunda, kilomita 2 kutoka mjini baada ya kukosa uwanja wa kufanyia mkutano kutokana na uongozi wa Wilaya ya Tunduru kugoma kuwapa kibali cha kufanya mkutano kwenye viwanja vya wazi kwa madai maeneo hayo hayana usalama wa kutosha.
Kutokana na kukosa uwanja mkutano huo kwa sasa unafanyika kwenye uwanja wa nyumba ya Mzee Mandunda kando ya barabara hali inayohatarisha usalama wa wananchi waliofika kumsikiliza Makamu Mwenyekiti huyo.
View attachment 3297004
Nenda kajambe mbele...Wajinga kama wewe bado mpo wengi
Jiongeze mdogo wangu....Mashamba huko kusini yako hapo tu kwenye mkutano wa cdm?
Moyo wako una shuhudia ukweliPropaganda hiyo wananchi wamekwenda shamba msimu wa mvua amekosa watu.....
Cc: TlaatlaahHizo ndio 4R za mama Abdul .
Waione kunguni waandamizi wa mama Abdul ChoiceVariable The Sunk Cost Fallacy 2 Lucas Mwashambwa.
Ni kwamba wote huko ccm mmezeeka? Mbona bado wote mnafanya propaganda za karne ya 19?Jiongeze mdogo wangu....