kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Propaganda ya kizee ni ya kusema wataletwa watu barabarani halafu hawataonekana hata unyayo!Ni kwamba wote huko ccm mmezeeka? Mbona bado wote mnafanya propaganda za karne ya 19?
Propaganda ya kizee ni ya kusema wataletwa watu barabarani halafu hawataonekana hata unyayo!Ni kwamba wote huko ccm mmezeeka? Mbona bado wote mnafanya propaganda za karne ya 19?
We unaongea hujui unabwabwaja Tu.. uwanja amenyimwa Kwa mambo ya kisiasaPropaganda hiyo wananchi wamekwenda shamba msimu wa mvua amekosa watu.....
Wamewapa CHADEMA promo ambayo haikua necessary, hawa Jamaa wanatumia makalio kuwaza.Hapo ndio wanazidisha hasira za wananchi wanyonge....
CCM mnajamba haswaAhahahahaha! Labda wewe.
Ahahahahaha! Kwahiyo kibailojia ukiwa CCM unajamba na ukiwa Chadema haujambi! Ahahahahaha!CCM mnajamba haswa
Huyo tapeli aliona ataaibika angeenda uwanjani maana asingepata watu wa kuficha aibuKatika hali isiyokuwa ya kawaida Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche leo Aprili 8, 2025, amelazimika kufanya mkutano wake nyumbani kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tunduru Kaskazini Mzee Mandunda Mandunda, kilomita 2 kutoka mjini baada ya kukosa uwanja wa kufanyia mkutano kutokana na uongozi wa Wilaya ya Tunduru kugoma kuwapa kibali cha kufanya mkutano kwenye viwanja vya wazi kwa madai maeneo hayo hayana usalama wa kutosha.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kutokana na kukosa uwanja mkutano huo kwa sasa unafanyika kwenye uwanja wa nyumba ya Mzee Mandunda kando ya barabara hali inayohatarisha usalama wa wananchi waliofika kumsikiliza Makamu Mwenyekiti huyo.