Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Nichi ya kifala sana hii...yayaisha lakiniKatika hali isiyokuwa ya kawaida Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche leo Aprili 8, 2025, amelazimika kufanya mkutano wake nyumbani kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tunduru Kaskazini Mzee Mandunda Mandunda, kilomita 2 kutoka mjini baada ya kukosa uwanja wa kufanyia mkutano kutokana na uongozi wa Wilaya ya Tunduru kugoma kuwapa kibali cha kufanya mkutano kwenye viwanja vya wazi kwa madai maeneo hayo hayana usalama wa kutosha.
Kutokana na kukosa uwanja mkutano huo kwa sasa unafanyika kwenye uwanja wa nyumba ya Mzee Mandunda kando ya barabara hali inayohatarisha usalama wa wananchi waliofika kumsikiliza Makamu Mwenyekiti huyo.
Hapo ndio wanazidisha hasira za wananchi wanyonge....Katika hali isiyokuwa ya kawaida Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche leo Aprili 8, 2025, amelazimika kufanya mkutano wake nyumbani kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tunduru Kaskazini Mzee Mandunda Mandunda, kilomita 2 kutoka mjini baada ya kukosa uwanja wa kufanyia mkutano kutokana na uongozi wa Wilaya ya Tunduru kugoma kuwapa kibali cha kufanya mkutano kwenye viwanja vya wazi kwa madai maeneo hayo hayana usalama wa kutosha.
Kutokana na kukosa uwanja mkutano huo kwa sasa unafanyika kwenye uwanja wa nyumba ya Mzee Mandunda kando ya barabara hali inayohatarisha usalama wa wananchi waliofika kumsikiliza Makamu Mwenyekiti huyo.
Huku Sasa sio penyewe kuanza kunyima watu uhuru wa mikutano sio sawa na Wala sio sera za CCM Wala Mama Samia,Katika hali isiyokuwa ya kawaida Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche leo Aprili 8, 2025, amelazimika kufanya mkutano wake nyumbani kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tunduru Kaskazini Mzee Mandunda Mandunda, kilomita 2 kutoka mjini baada ya kukosa uwanja wa kufanyia mkutano kutokana na uongozi wa Wilaya ya Tunduru kugoma kuwapa kibali cha kufanya mkutano kwenye viwanja vya wazi kwa madai maeneo hayo hayana usalama wa kutosha.
Kutokana na kukosa uwanja mkutano huo kwa sasa unafanyika kwenye uwanja wa nyumba ya Mzee Mandunda kando ya barabara hali inayohatarisha usalama wa wananchi waliofika kumsikiliza Makamu Mwenyekiti huyo.
View attachment 3297004
Ccm hivi imeshawahi kukataliwa kibali kokote nchini kwasababu kama hizi au zozote?.uongozi wa Wilaya ya Tunduru kugoma kuwapa kibali cha kufanya mkutano kwenye viwanja vya wazi kwa madai maeneo hayo hayana usalama wa kutosha.
Hiyo wilaya ina viongozi wapuuzi sana, vilaza watupu!Katika hali isiyokuwa ya kawaida Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche leo Aprili 8, 2025, amelazimika kufanya mkutano wake nyumbani kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tunduru Kaskazini Mzee Mandunda Mandunda, kilomita 2 kutoka mjini baada ya kukosa uwanja wa kufanyia mkutano kutokana na uongozi wa Wilaya ya Tunduru kugoma kuwapa kibali cha kufanya mkutano kwenye viwanja vya wazi kwa madai maeneo hayo hayana usalama wa kutosha.
Kutokana na kukosa uwanja mkutano huo kwa sasa unafanyika kwenye uwanja wa nyumba ya Mzee Mandunda kando ya barabara hali inayohatarisha usalama wa wananchi waliofika kumsikiliza Makamu Mwenyekiti huyo.
View attachment 3297004
Jinga wewe!Propaganda hiyo wananchi wamekwenda shamba msimu wa mvua amekosa watu.....
Hapa ndio wangekomaa wafanyie mkutano uwanja huohuo, kuonesha no election kwa vitendo.baada ya kukosa uwanja wa kufanyia mkutano kutokana na uongozi wa Wilaya ya Tunduru kugoma kuwapa kibali cha kufanya mkutano kwenye viwanja vya wazi kwa madai maeneo hayo hayana usalama wa kutosha.
NONSENSEPropaganda hiyo wananchi wamekwenda shamba msimu wa mvua amekosa watu.....
Halafu kuna kikundi kinajiita G55 kinachukulia mambo ni mepesi, badala ya kuungana na viongozi wao wa taifa kushinikiza haki, uhuru na uwazi.Katika hali isiyokuwa ya kawaida Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche leo Aprili 8, 2025, amelazimika kufanya mkutano wake nyumbani kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tunduru Kaskazini Mzee Mandunda Mandunda, kilomita 2 kutoka mjini baada ya kukosa uwanja wa kufanyia mkutano kutokana na uongozi wa Wilaya ya Tunduru kugoma kuwapa kibali cha kufanya mkutano kwenye viwanja vya wazi kwa madai maeneo hayo hayana usalama wa kutosha.