PreGE2025 John Heche anyimwa Uwanja Tunduru, alazimika kufanya Mkutano kando ya Barabara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mteule,anatetea ugali wake.
 
Huku Sasa sio penyewe kuanza kunyima watu uhuru wa mikutano sio sawa na Wala sio sera za CCM Wala Mama Samia,

Tusimchafue mama huyu,

Nadhani huyo aliyowanyima watu uwanja ashughulikiwe kabla ya yote
Huyo ni mwanaccm kwahiyo anabaraka zote za ccm.
 
Hiki kichwa kiliwaweka wazi kwenye mahojiano ya ITV hadi aibu.
Lazima wamnyime uwanja
 
Huku Sasa sio penyewe kuanza kunyima watu uhuru wa mikutano sio sawa na Wala sio sera za CCM Wala Mama Samia,

Tusimchafue mama huyu,

Nadhani huyo aliyowanyima watu uwanja ashughulikiwe kabla ya yote
Ndio zao
 
Aonyeshe kibali Cha kufanya mkutano
 
Halafu kuna kikundi kinajiita G55 kinachukulia mambo ni mepesi, badala ya kuungana na viongozi wao wa taifa kushinikiza haki, uhuru na uwazi.
Zito alikuja na hizohizo za G55, leo hii ameona uhalisia wa siasa za nchi hii.
 
Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi wake wanajua bado wako enzi za predictable Jiwe. Mama hatabiriki leo 4R kesho Slaa yupo korokoroni ...
 
Tabia za kipuuzi Kama hizi ndiyo zinatufanya kura zetu wengine tuzipeleke kwa hao mnaowanyima viwanja.

Kama hamtaki kuwe na vyama vingi si mvifute tu
 
Maccm yana upumbavu mwingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…