PreGE2025 John Heche anyimwa Uwanja Tunduru, alazimika kufanya Mkutano kando ya Barabara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni kwamba wote huko ccm mmezeeka? Mbona bado wote mnafanya propaganda za karne ya 19?
Propaganda ya kizee ni ya kusema wataletwa watu barabarani halafu hawataonekana hata unyayo!
 
Chama dola kongwe kimeishiwa pumzi ... (in the voice of ) Mzee Kingunge Ngombale Mwiru
 
Wanasema SHETANI AKIZEEKA ANAKUWA MALAIKA. CCM IMEZEEKA LAKINI SIYO MALAIKA BALI NI MKUU WA KILINGE CHA MASHETANI.
 
ccm sasa wanavamia stendi za mabasi wakijua abiria ndio ccm
 
Huyo tapeli aliona ataaibika angeenda uwanjani maana asingepata watu wa kuficha aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…