John Heche: CCM makapuku hamna tofauti na House Negro as opposed to Field Negro enzi za utumwa huko Marekani

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Akina Chacha and Co.Ltd nyinyi ni kapuku tu. Hamna tofauti na watumwa huko Marekani ambapo House Negro walijiona bora kuliko Field Negro. Wote nyie CCM ni watumwa wa cartel ya CCM. Mnatupiwa makombo wakati wao wanajenga Dubai.

Msikilize Heche
 
Attachments

  • VID-20261007-WA0015.mp4
    56.5 MB
Hilo kundi ndio linachangia nchi kuzorota..!!
Sababu yao hao wapumbavu viongozi wanazidi kufanya madudu wao wakiwashangalia na kuogopa kuwawajibisha..!!

Wanashindwa kumuulizia ex katibu mwenezi wao HP na Makamu wao Nchimbi…

Wametulia kama hawapo wao ni kushangilia tu.!!
 
Huo ndiyo ukweli. Ni sawa na mapunguani kama akina Mwashambwa, yanayoshabikia wauaji wa ndugu zao. Jitu lipo huko uvhochoroni huko Mbeya, ndugu zake wanauawa, lenyewe kwa sababu linarushiwa vie-elfu kumi kumi, linaanza kumshamgilia muuaji anayewaua ndugu zake!! Kwa kweli watu wa namna hii ni wale waliolaaniwa. Mtu mwenye akili timamu na mwenye Roho wa Mungu, hata kama ni maskini, akiambiwa achague kuoewa bilioni ili ndugu yake auawe, kamwe hawezi kukubali. Lakini tuna Watanganyika matahira, yanafurahia ndugu zao kuuawa na kuwashangilia wauaji, kwa sababu yeye amelipwa kamilioni kamoja na kuambiwa awaseme vibaya ndugu zake na awapambe wauaji!!
 
Hayo matakataka mahouse negro yanawacheka field negro shenzi kabisa.
 
Achana na lile jembe we hufai hata kugusa kiatu chake
jembe la uropokaji right?

nilisikutika sana alipofilisika pension yake yote ya ubunge kwenye betting aise dah 🐒
 
jembe la uropokaji right?

nilisikutika sana alipofilisika pension yake yote ya ubunge kwenye betting aise dah 🐒
Eeeh una safari ndefu wewe kumbe mtu anayeitwa John heche humjui! Unafikiri yuko kupigania haki akiwa na njaa? Endelea kuramba matrakho ya wana ccm pale mpaka siku akili yako ikae fasi moja
 
Eeeh una safari ndefu wewe kumbe mtu anayeitwa John heche humjui! Unafikiri yuko kupigania haki akiwa na njaa? Endelea kuramba matrakho ya wana ccm pale mpaka siku akili yako ikae fasi moja
mvuta bangi na addict wa kubeti nani asie mjua gentleman?

stress za kufilisika ubunge zinampeleka puta na kujikuta anaropoka tu
 
Ukiona nafasi yako kwenye chama chochote wewe ni mpambe tu na wanaonufaika ni wengine, jitafakari. Ukiwa upo tayari kushabikia bwana wako aumize wengine na wewe hunufaiki chochote ujue huo ni utahira, jitafakari zaidi.
hasa kama bado unakumbushwa sana kulipa kodi kwa maendeleo ya taifa lako,..
 
mvuta bangi na addict wa kubeti nani asie mjua gentleman?

stress za kufilisika ubunge zinampeleka puta na kujikuta anaropoka tu
Nakuhurumia sana labda hata na mgongo huna masikini😀😀 heche sio chawa sio mwenzio na bangi havuti unatamani sana awe level zako ila ndo ivo yule kifikra, kisiasa, kiuchumi sio mwenzio...jibu kwa hoja sio stories za vijiweni
 
ok.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…