Heche "haonyeshi ustadi wa 'propaganda'", Heche anasema ukweli ulivyo.
Wanaofanya propaganda ni hao wanaohusisha CHADEMA kuwa chama cha Kiharakati; badala ya kuwa chama cha siasa. Wanafanya hivyo kwa maksudi ili kuwashawishi wananchi wakione kuwa kinatumiwa na watu wengine toka nje ya nchi.