Pre GE2025 John Heche: CHADEMA Kujenga Chuo cha Uongozi na Ukumbi wa Mikutano Kupitia Kampeni ya "Tone Tone"

Pre GE2025 John Heche: CHADEMA Kujenga Chuo cha Uongozi na Ukumbi wa Mikutano Kupitia Kampeni ya "Tone Tone"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wahitimu wa chuo hicho watafanya kazi wapi? Kwa nini wanataka kujenga chuo wakati kuna surplus ya wasomi nchini. Badala ya kujenga chuo chao waongeze juhudi katika kuimarisha matawi yao kwenye vyuo vilivyopo na ku identify wale ambao watawafaa. Na wanafunzi wanaosoma katika vyuo ambavyo vina mgongano wa itikadi ndio vinatoa wahitimu walioiva. Wakina Heche walifundwa katika vyuo public na kazi ya CDM ili ni kukomaza vipaji vyao. Hili ni wazo baya sana. Ni kama waanzishe biashara ya mabasi ya Chadema. Hata wazo la kujenga ukumbi nalo ni baya. Watatoa wapi wateja?

Amandla...
Chamani na taifani,hata kijani mtaruhusiwa kuja kujifunza uzalendo kwa manufaa ya taifa letu.
 
Hizi akili za mbumbumbu ambae haelewi chama kinahitaji taasisi za kuzalisha wataalam kutoka kwenye mifumo yake!
Na mpaka wamefika hapa kilipo kimezalisha wangapi? CDM wanawaiga CCM ambao bila kuwa chama dola hivyo vyuo vyao vyote vingekufa. Hivi mnataka kutuambia CDM imekosa wataalam mpaka imeona kuna haja ya kujenga na kuendesha chuo chao? Watakaofurahia upuuzi huu ni CCM.

Amandla...
 
Tayari wameanza kupoteza FOCUS, matamkumbuka Freeman Mbowe mbwa nyinyi!!

Yaani mukajenge ukumbi na chuo cha mafunzo ili mupate nini? Nyie pambanieni kuchukua dola kwa kushiriki chaguzi ndogo ndogo, za kati hadi Ubunge ili siku moja muweze kushinda Urais.
Huna akili
 
Hivi CDM wana online shop la kuuza kofia, t shirts, khanga, vikombe, katiba yao n.k? Trump anauza viatu mpaka biblia ili kujiongezeq mapato. Sio lazima kuwa na ukumbi au shamba kufanya biashara.

Amandla...
 
Tayari wameanza kupoteza FOCUS, matamkumbuka Freeman Mbowe mbwa nyinyi!!

Yaani mukajenge ukumbi na chuo cha mafunzo ili mupate nini? Nyie pambanieni kuchukua dola kwa kushiriki chaguzi ndogo ndogo, za kati hadi Ubunge ili siku moja muweze kushinda Urais.
Kwakweli nakuunga mkono hapo wanapoteza focus mimi nilitamani nichangie lakini naanza kupoteza morali, (munkali), wajifunze kuhusu 'SMART goal settings'
 
Fedha hizo zikaimarishe Chama kwanza Demage iliyofanywa na Serikali ya Magufuli ni kubwa mambo ya project kubwa kama hizi ziwe baadaye.
 
Hizi akili za mbumbumbu ambae haelewi chama kinahitaji taasisi za kuzalisha wataalam kutoka kwenye mifumo yake!
Kama CHADEMA itazalisha wataalamu, je kazi ya vyuo vikuu itakuwa ni nini?
 
Kama CHADEMA itazalisha wataalamu, je kazi ya vyuo vikuu itakuwa ni nini?
Kwani ni vyuo vikuu tu ndio vinazalisha wataalamu? Halafu pia sio mbaya kwa chama kikiwa na miradi inayoigusa jamii moja kwa moja!
 
Kwani ni vyuo vikuu tu ndio vinazalisha wataalamu? Halafu pia sio mbaya kwa chama kikiwa na miradi inayoigusa jamii moja kwa moja!
Hujui misingi ya biashara
 
Tayari wameanza kupoteza FOCUS, mtamkumbuka Freeman Mbowe mbwa nyinyi!!

Yaani mkajenge ukumbi na chuo cha mafunzo ili mupate nini? Nyie pambanieni kuchukua dola kwa kushiriki chaguzi ndogo ndogo, za kati hadi Ubunge ili siku moja muweze kushinda Urais.
Mitoto ya Samia hiyo
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema chama hicho kinatarajia kujenga chuo maalum cha uongozi na kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano katika eneo la Soga, kwa kutumia fedha zinazoendelea kuchangwa na wadau kupitia kampeni inayoitwa “tone tone”.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025

Elezeni kwanza mamilioni aliyowapa msrehemu Sabodo muweke vitega 8chumi Chadema mlipeleka wapi hizo pesa?
 
Tayari wameanza kupoteza FOCUS, mtamkumbuka Freeman Mbowe mbwa nyinyi!!

Yaani mkajenge ukumbi na chuo cha mafunzo ili mupate nini? Nyie pambanieni kuchukua dola kwa kushiriki chaguzi ndogo ndogo, za kati hadi Ubunge ili siku moja muweze kushinda Urais.
Hawana maarifa wataangamia
 
Back
Top Bottom