Pre GE2025 John Heche: CHADEMA Kujenga Chuo cha Uongozi na Ukumbi wa Mikutano Kupitia Kampeni ya "Tone Tone"

Pre GE2025 John Heche: CHADEMA Kujenga Chuo cha Uongozi na Ukumbi wa Mikutano Kupitia Kampeni ya "Tone Tone"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tayari wameanza kupoteza FOCUS, mtamkumbuka Freeman Mbowe mbwa nyinyi!!

Yaani mkajenge ukumbi na chuo cha mafunzo ili mupate nini? Nyie pambanieni kuchukua dola kwa kushiriki chaguzi ndogo ndogo, za kati hadi Ubunge ili siku moja muweze kushinda Urais.
Kwenda zako, bila elimu watanzania wataendelea kunyonywa na magabachori wa ccm. Move nzuri hii itawauma magabachori tu km wewe
 
Wamefanya feasibility study kwa ajili ya miradi hii? Kwa miaka mingi CDM ilikuwa inaoperate kutoka kwenye kajumba Ufipa. Na walikijenga chama chao kutoka ka jumba hako hako badala ya kukimbilia mjengo wa kifahari. Walikuwa focused. Hiki wanachokifanya sasa hivi ni kupoteza focus.

Amandla...
UWT mmeuamia haswa
 
Sasa nimeelewa kwa nini umejipa jina la mwanaume na mbaya zaidi Netanyahu. Stupid as stupid does.

Amandla...
Wajinga wakubwa nyie, wenzenu hawana pakuiba nyie mmeshindwa kujenga ofisi pamoja na kuiba mali za umma waziwazi, acheni wenzenu wafanye maendeleo wanayoona yanafaa
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema chama hicho kinatarajia kujenga chuo maalum cha uongozi na kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano katika eneo la Soga, kwa kutumia fedha zinazoendelea kuchangwa na wadau kupitia kampeni inayoitwa “tone tone”.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025

This idea is beautiful..... Go on Brothers
 
Wajinga wakubwa nyie, wenzenu hawana pakuiba nyie mmeshindwa kujenga ofisi pamoja na kuiba mali za umma waziwazi, acheni wenzenu wafanye maendeleo wanayoona yanafaa
Ndio maana nasema stupid as stupid does. Hao wenzetu ni wakina nani na sisi ni wakina nani? Na maendeleo yapi ambayo tunazuia?

Amandla...
 
Wewe UWT tulia kakate viuno na wanawake wenzio kwa Wasira
Hapo ndio umejitahidi kujenga hoja! Vijana wajinga wajinga ndio mnaamini kumuita mtu mwanamke ni kumtukana! Wakati huo hao ndio waliowazaa na kuwalea mpaka hapo mlipo. Kweli "stupid as stupid does ".

Amandla...
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema chama hicho kinatarajia kujenga chuo maalum cha uongozi na kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano katika eneo la Soga, kwa kutumia fedha zinazoendelea kuchangwa na wadau kupitia kampeni inayoitwa “tone tone”.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025

kwamba pesa hizo zimebadilishwa matumizi tena sio ya kuendeshea chama kinachopitia ukata wa fedha wa kutisha, ni kwaajili ya ujenzi wa ukumbi na chuo right?🐒
 
Back
Top Bottom