Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Hapo akina Heche na bosi wake wamechungulia fursa ya upigaji kwa kupitia kandarasi za ujenzi.kwamba pesa hizo zimebadilishwa matumizi tena sio ya kuendeshea chama kinachopitia ukata wa fedha wa kutisha, ni kwaajili ya ujenzi wa ukumbi na chuo right?š
Hela zenyewe mpaka last wee zilikuwa Tsh 65 Milioni, ndiyo hawa mabwege wanataka wazipeleke kujenga chuo na ukumbi wa mikutano!!