Pre GE2025 John Heche: CHADEMA Kujenga Chuo cha Uongozi na Ukumbi wa Mikutano Kupitia Kampeni ya "Tone Tone"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chamani na taifani,hata kijani mtaruhusiwa kuja kujifunza uzalendo kwa manufaa ya taifa letu.
 
Hizi akili za mbumbumbu ambae haelewi chama kinahitaji taasisi za kuzalisha wataalam kutoka kwenye mifumo yake!
Na mpaka wamefika hapa kilipo kimezalisha wangapi? CDM wanawaiga CCM ambao bila kuwa chama dola hivyo vyuo vyao vyote vingekufa. Hivi mnataka kutuambia CDM imekosa wataalam mpaka imeona kuna haja ya kujenga na kuendesha chuo chao? Watakaofurahia upuuzi huu ni CCM.

Amandla...
 
Huna akili
 
Hivi CDM wana online shop la kuuza kofia, t shirts, khanga, vikombe, katiba yao n.k? Trump anauza viatu mpaka biblia ili kujiongezeq mapato. Sio lazima kuwa na ukumbi au shamba kufanya biashara.

Amandla...
 
Kwakweli nakuunga mkono hapo wanapoteza focus mimi nilitamani nichangie lakini naanza kupoteza morali, (munkali), wajifunze kuhusu 'SMART goal settings'
 
Fedha hizo zikaimarishe Chama kwanza Demage iliyofanywa na Serikali ya Magufuli ni kubwa mambo ya project kubwa kama hizi ziwe baadaye.
 
Kajifunze silabi na istilahi kwanza ili ukija kuandika siku nyingine ueleweke 😂😂😂
Labda nikufundishe wewe pimbi hizo silabi, istlahi, mofimu, fonimu na vishazi
 
Hizi akili za mbumbumbu ambae haelewi chama kinahitaji taasisi za kuzalisha wataalam kutoka kwenye mifumo yake!
Kama CHADEMA itazalisha wataalamu, je kazi ya vyuo vikuu itakuwa ni nini?
 
Kama CHADEMA itazalisha wataalamu, je kazi ya vyuo vikuu itakuwa ni nini?
Kwani ni vyuo vikuu tu ndio vinazalisha wataalamu? Halafu pia sio mbaya kwa chama kikiwa na miradi inayoigusa jamii moja kwa moja!
 
Kwani ni vyuo vikuu tu ndio vinazalisha wataalamu? Halafu pia sio mbaya kwa chama kikiwa na miradi inayoigusa jamii moja kwa moja!
Hujui misingi ya biashara
 
Mitoto ya Samia hiyo
 
Elezeni kwanza mamilioni aliyowapa msrehemu Sabodo muweke vitega 8chumi Chadema mlipeleka wapi hizo pesa?
 
Hawana maarifa wataangamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…