kwamba pesa hizo zimebadilishwa matumizi tena sio ya kuendeshea chama kinachopitia ukata wa fedha wa kutisha, ni kwaajili ya ujenzi wa ukumbi na chuo right?π
Zoezi la tone tone lipelekeni kwenye uongozi wa kanda wakishirikiana na wenyeviti Mikoa. Wekeni asilimia kadhaa za mapato yatakayokunywa yanarudi kandani kusaidia kazi. Jinsi Kanda itakavyokusanya mapato ndivyo itapata mgao wake.