Pre GE2025 John Heche: CHADEMA wapo tayari kufanya mdahalo na CCM hata leo jioni

Pre GE2025 John Heche: CHADEMA wapo tayari kufanya mdahalo na CCM hata leo jioni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakati mnakusanya majibu ya hoja za cdm, hakikisheni Makonda awe jela kabisa.
Tumeshasema njooni kamati kuu yenu nzima na maswali yenu yote na hoja zenu zote mtamkuta Mheshimiwa Makonda anawasubiri na majibu ya kila swali mlilo nalo.
 
Makonda ni Mwamba wa siasa za kisayansi na kisasa.kwa sasa CHADEMA wanakimbizana na kukwepana .hawajui nani aende akakabiliane na mheshimiwa Makonda katika mdahalo maana wanajuwa uwezo mkubwa wa kihoja alionao mheshimiwa Makonda.
Ndio maana hata makamu wao Tundu amekimbia maandamano..
 
Polisi hupajuwi? Mahakama huzijuwi? Wanasheria huwajuwi?

Unangoja nini kulianzisha? Au na wewe mradi umeandika tu?
Polisi na mahakama ni sehemu ya huu uhalifu hapa nchini.
 
Tumeshasema njooni kamati kuu yenu nzima na maswali yenu yote na hoja zenu zote mtamkuta Mheshimiwa Makonda anawasubiri na majibu ya kila swali mlilo nalo.
Maswali yapo hadharani, ni juu yenu kumchagua mwenye uwezo wa kuyajibu, ni aidha bibi mkojani, au huyo muhalifu.
 
Maswali yapo hadharani, ni juu yenu kumchagua mwenye uwezo wa kuyajibu, ni aidha bibi mkojani, au huyo muhalifu.
Ninyi njooni kamati kuu yenu yote ya CHADEMA mkutane na mwamba mwenyewe Paul Makonda ili mfundishwe na kupewa darasa la siasa .kikubwa mje na madaftari.
 
Ni kweli mbowe ni kama toto lililodekezwa tu.anapenda kudeka deka tu na kutaka kubembelezwa. Muda huo haupo kwa sasa.
Tukiamua tufanye siasa za hivo tutaanza kuitana wote hivo kwa pamoja tutaitwa nchi isiyo na uungwana .
 
Ninyi njooni kamati kuu yenu yote ya CHADEMA mkutane na mwamba mwenyewe Paul Makonda ili mfundishwe na kupewa darasa la siasa .kikubwa mje na madaftari.
Narudia tena, ni juu yenu kumchagua muhalifu mnayeona anafaa, hoja tayari ziko hadharani.
 
Sasa kwa akili yako kisoda unafirikiri CHADEMA wanaweza kuhimili uzito wa hoja za Mheshimiwa Makonda? Unafikiri wana ubavu na uwezo huo? Au unafikiri mdahalo ni kama mazungumzo ya walevi wa pombe za kienyeji kubishana habari za simba na yanga?
Jinga wewe, haya angalau Nchimbi ni mtu anaejielewa amekuwa katibu mkuu mpya, mwaga upupu wako kama ataendana na huyo mropokaji mwenzio. Makonda hana kichwa cha kumkabili Lissu au unadhani kuna kwenda na bunduki kwenye mdahalo?
 
Nchimbi hapo safi kwanza hutamsikia akiropoka kama yule asie na degree
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA na mbunge wa zamani Mheshimiwa John Heche amesema wao wapo tayari kufanya mdahalo na CCM, kwa kuwa ni CCM yenye majibu ya maswali na mambo yote ambayo wanayazungumza wao CHADEMA.

Ameyasema hayo kupitia East Afrika redio &Tv siku moja baada ya katibu wa itikadi ,uenezi na mafunzo wa CCM Mheshimiwa Paul Makonda kutaka mdahalo na viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mbowe Mwenyewe.

Rai yangu ni kuwa Wao CHADEMA wajikusanye tu na wakishakamilika basi wampe taarifa Mheshimiwa Paul Makonda ambaye yeye tayari ameshajiandaa na kujipanga tayari na anamajibu yote mkononi mwake juu ya mambo mbalimbali wanayoyazungumzia CHADEMA.

Huo ndio ukomavu na siyo ule utoto wa kususa susa kama watoto waliodekezwa na wazazi wao.siasa ni hoja. leteni hoja zishindanishwe mezani na siyo kukimbia kimbi tu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Tutolee uchizi wako hapa makonda anaenuka dam za watu ndio akafanye mdahalo na watu wenye heshima kama heche mbowe haya si matumizi mabaya ya fikira
 
Mwandishi: Tundu Lisu anakutaja wewe kama muhusika wa sakata lake la kupigwa risasi Dodoma
Mwenezi: Hilo swali kamuulize mama ako

Mtu kama huyu unaweza kufanya nae mdahalo gani sasa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ninyi nendeni kwenye mdahalo na siyo kuanza kupiga porojo porojo na blaa blaa tu
 
Back
Top Bottom