Pre GE2025 John Heche: CHADEMA wapo tayari kufanya mdahalo na CCM hata leo jioni

Pre GE2025 John Heche: CHADEMA wapo tayari kufanya mdahalo na CCM hata leo jioni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Heche kusema anataka mdahalo lazima huko CCM muandae watu wa sampuli ya Mzee Warioba waje kuwasaidia kujibu, lakini kusema Makonda yupo tayari kwa hilo, huo ni utani. 📌🔨
 
Sasa kwa akili yako kisoda unafirikiri CHADEMA wanaweza kuhimili uzito wa hoja za Mheshimiwa Makonda? Unafikiri wana ubavu na uwezo huo? Au unafikiri mdahalo ni kama mazungumzo ya walevi wa pombe za kienyeji kubishana habari za simba na yanga?
Unatafuta cheo kwa makonda kinguvu yaani Ile takataka isiyojielewa ambayo mara nyingi uwa mnaikana mkisema sio taarifa za chama Leo ikakae na vichwa kina lissu na heche ijenge hoja punguza ujinga kichwani
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA na mbunge wa zamani Mheshimiwa John Heche amesema wao wapo tayari kufanya mdahalo na CCM, kwa kuwa ni CCM yenye majibu ya maswali na mambo yote ambayo wanayazungumza wao CHADEMA.

Ameyasema hayo kupitia East Afrika redio &Tv siku moja baada ya katibu wa itikadi ,uenezi na mafunzo wa CCM Mheshimiwa Paul Makonda kutaka mdahalo na viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mbowe Mwenyewe.

Rai yangu ni kuwa Wao CHADEMA wajikusanye tu na wakishakamilika basi wampe taarifa Mheshimiwa Paul Makonda ambaye yeye tayari ameshajiandaa na kujipanga tayari na anamajibu yote mkononi mwake juu ya mambo mbalimbali wanayoyazungumzia CHADEMA.

Huo ndio ukomavu na siyo ule utoto wa kususa susa kama watoto waliodekezwa na wazazi wao.siasa ni hoja. leteni hoja zishindanishwe mezani na siyo kukimbia kimbi tu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
naunga mkono mdahalo ila ufanyike baada ya maandamano ili tusikie waandamanaji watavyokua wanatamka baadhi ya maneno mathalani, thatha badala ya sasa, wathuu wameumidhwa badala ya watu wameumizwa 🐒
 
Unatafuta cheo kwa makonda kinguvu yaani Ile takataka isiyojielewa ambayo mara nyingi uwa mnaikana mkisema sio taarifa za chama Leo ikakae na vichwa kina lissu na heche ijenge hoja punguza ujinga kichwani
Acha uzushi wako hapa wewe.taaarifa ipi iliyotolewa na Mheshimiwa Makonda ambayo tulisema siyo ya chama?
 
Ningekua mm ndiye niliyepewa mamlaka ya kuteua wajumbe watakao kiwakilisha chama chetu chama cha mapindizi ,ningeteua wafuatao
1.mh comrade Adulrahman kinana
2.mh Emmanuel nchimbi
3.mh. Phillip mangula
4.mh mizengo kayanza pinda
5mh. Joseph sinde warioba
6.mh January yusufu makamba
7.mh. Spika mstaafu Pius msekwa
8.mh. Joseph butiku
9.mh. Prof mark mwandosya
10.mh Dr asha rose migiro
Kupitia hawa watu naamini tungepata uwakilishi mzuri sana ulio na majibu yenye hekima ,matumaini,unyenyekevu ,weledi na ukweli.maana mdahalo nikitu nyeti sana hasa linapokuja swala lakuongelea umoja wa kitaifa,maendeleo,siasa,uchumi ,elimu,usalama,uadilifu wa uongozi,uchaguzi wa serikali za mitaa pamoja na WA rais wabunge na madiwan,tume huru ya uchaguzi pamoja na Katiba mpya.haya mambo sio ya mchezo.nitofauti na kuhadithia hadith.tusije tukaenda kwenye mdahalo bila kujipanga chama kiwe makini sana maana kupitia mdahalo huu tunaweza Jenga chama chetu sana na kupita mdahalo huu tunawezabomoa chama chetu sana.
 
Makonda katumia kauli moja tu.. ameshawatoa chadema kwenye mchezo.. Mawazo yameshatoka kwenye kwenye maandamano yamehamia kwenye mdaharo... Kuweni makini CDM
Ndio akili za wajinga wa ccm mnaoongozwa na mtu aliyeforge cheti kwa jina LA makonda.
 
Mwashamba ni mgonjwa na kitaalam ugonjwa huu unaitwa ccmiasis ni tangu lini makoñda akawa na hoja? Mimi nawapumzisha viongozi wote wa chadema NAMTAKA MAKONDA KWENYEMDAHALI kikubwa asije na migobole kama Ile alovamia clouds
 
Ninyi jiandaeni kamati kuu nzima mkafanye mdahalo na mheshimiwa Makonda ili mkafundishwe maana ya siasa.
Mjinga wewe . Hujui hata maana ya mdahalo. Unabweka tu ili upate pa kuandika namba za simu. Chawa mchafu malaya
 
Mwashamba ni mgonjwa na kitaalam ugonjwa huu unaitwa ccmiasis ni tangu lini makoñda akawa na hoja? Mimi nawapumzisha viongozi wote wa chadema NAMTAKA MAKONDA KWENYEMDAHALI kikubwa asije na migobole kama Ile alovamia clouds
Nyie njooni kamati kuu yenu yote mpewe elimu bure kabisa.kikubwa njooni na madaftari
 
Hivi mdahalo ukiwepo kweli je ccm watamleta nani?
Napata kigugumizi sana kumpata mtu 'clean" ndani ya ccm!
Nahisi ccm watachomoa "waya wa betri"
 
Hivi mdahalo ukiwepo kweli je ccm watamleta nani?
Napata kigugumizi sana kumpata mtu 'clean" ndani ya ccm!
Nahisi ccm watachomoa "waya wa betri"
Mmeshaambiwa njooni kwenye mdahalo mkiongozwa na mbowe. Sasa blaa blaa za nini tena?
 
Back
Top Bottom