Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Ivi mwanakamati mmoja wa chadema akiuliza swali kwamba kwann nauli za usafir wa umma zimepanda December na cyo July na zimepanda kwa asilimia kubwa hivi hao ccm watajibu nn?Wewe jiandae na kamati kuu yenu mkapambane na mheshimiwa Makonda
Mwingine aulize kwamm sukari na bidhaa nyingine muhimu zinapanda bei kila kukicha huku serikali ya ccm ikiwa imesinzia wa ccm atajibu nn?
Usicheze na mdahalo wewe endelea kusambaza namba za cmu wakuone tu