"Wanachadema kafanyeni kazi, huu uamuzi umesikitisha lakini ni wa muhimu na wa kihistoria ambao huko mbeleni watu wengine wataangalia na kusoma majina yao, watajiuliza itakuwaje." Mhe. @HecheJohn
John Heche na Tundu Lissu ni hardliners wa siasa za upinzani hapa nchini kwa sasa. Wacha tuone huu michezo utaisha vipi.
kwanini mpige magoti kwa mfano heche?"Wanachadema kafanyeni kazi, huu uamuzi umesikitisha lakini ni wa muhimu na wa kihistoria ambao huko mbeleni watu wengine wataangalia na kusoma majina yao, watajiuliza itakuwaje." Mhe. @HecheJohn
John Heche na Tundu Lissu ni hardliners wa siasa za upinzani hapa nchini kwa sasa. Wacha tuone huu michezo utaisha vipi.
Umetumia visivyo sahihi hilo neno la "hardliners". Watu 'principled' hawawi 'hardliners' kwa kusimamia wanachokiamini ambacho kwa bahati nzuri ndicho kilicho sahihi.John Heche na Tundu Lissu ni hardliners wa siasa za upinzani hapa nchini kwa sasa. Wacha tuone huu michezo utaisha vipi.
There must be a better word/term for these, than being mere "hardliners"...Ssh na Steve pia ni hardliner, hawataki kuomba msamaha, wala maridhiano.
Nabii tito umesema nani mwingine apinge?kwanini mpige magoti kwa mfano heche?
nadhani ni muhimu zaid wewe heche kuwapigia magoti wajumbe wa baraza kuu la chadema taifa ambao ni wazi wanakwenda kukubandua uongozini september 15. Wamekataa ufisadi wako ndani ya chadema
Serikali imemfuata lissu zaidi ya mara 3 kumuomba akubali kuomba Radhi kwa Serikali dhalimu ili aachiliwe huru. Mwamba akagoma . Sasa Serikali dhalimu ambayo haikuchaguliwa kwa demokrasia inamkomesha. Ila watanzania tupo macho tunashuhudia yanayotendeka . Mtaua sana,mtateka sana lakini mapambano bado yataendelea.kwanini mpige magoti kwa mfano heche?
nadhani ni muhimu zaid wewe heche kuwapigia magoti wajumbe wa baraza kuu la chadema taifa ambao ni wazi wanakwenda kukubandua uongozini september 15. Wamekataa ufisadi wako ndani ya chadema
tuliza ball bas mambo bado hata hayajaanza,Nabii tito umesema nani mwingine apinge?
Ila veggies imekula hasara kuanzia juu mpaka chini..!! Pity
relax gentleman,Serikali imemfuata lissu zaidi ya mara 3 kumuomba akubali kuomba Rashi kwa Serikali dhalimu ili aachiliwe huru. Mwamba akagoma . Sasa Serikali dhalimu ambayo haikuchaguliwa kwa demokrasia inamkomesha. Ila watanzania tupo macho tunashuhudia yanayotendeka . Mtaua sana,mtateka sana lakini mapambano bado yataendelea.
N.B matako yako mimi siyo John Heche
ok,Wewe ingiza posho yako utulie usijali kuhusu mambo mengine .