John Heche hutubia taifa uwambie wanachadema Sasa mnaelekea wapi 2026 baada uchafuzi KUISHA na uwambie wategemee Nini 2026?

John Heche hutubia taifa uwambie wanachadema Sasa mnaelekea wapi 2026 baada uchafuzi KUISHA na uwambie wategemee Nini 2026?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Huu ni WITO kwa kiongozi mkubwa wa chama Cha upinzani nchini Tanzania. TAFADHALI zungumza na WENZAKO kitaifa.uwape ramani mnaelekea wapi? For 2026?
 
Mkuu upo kimkakati au unamaanisha?

  1. Unajua katazo la mahakama dhidi ya CHADEMA?
  2. Je inatafutwa namna ya kuwahusisha CHADEMA na maandamano?
  3. CHADEMA walishatoa msimamo wao kutotambua uchaguzi na matokeo yake yote
 
TUENDELEE KUMUUNGA MKONO , MAMA WA AFRICA DR SAMIA SULUHU HASSAN NA PIA KUWA WAZALENDO KATIKA TAIFA LETU🇹🇿🙏🏽
 
TUENDELEE KUMUUNGA MKONO , MAMA WA AFRICA DR SAMIA SULUHU HASSAN NA PIA KUWA WAZALENDO KATIKA TAIFA LETU🇹🇿🙏🏽
Kipindi cha nyuma nilikuwa ninapenda mabandiko yako kwa vile ulikuwa unaelezea jambo kwa uhalisia....sasa hivi utadhani kama kuna mtu amedukua acc. yako.
Ila KUPANGA NI KUCHAGUA.
All the best!!
 
Kipindi cha nyuma nilikuwa ninapenda mabandiko yako kwa vile ulikuwa unaelezea jambo kwa uhalisia....sasa hivi utadhani kama kuna mtu amedukua acc. yako.
Ila KUPANGA NI KUCHAGUA.
All the best!!

Asante mkuu, nategemea kufanya jitihada zile zile Ila ndani ya CCM kwakuwa wamenipa Jukwaa tayari

Lengo tuijenge Tanzania MOJA.
 
KOSA KUBWA WAMEFANYA CHADEMA NI KUSHIRIKIANA NA KANISA KATOLIKI...DHAMBI HIYO HAITAKUJA KUWAACHA SALAMA NA NDIYO MWANZO WA KUFA KWA HIKO CHAMA
 
Back
Top Bottom