PreGE2025 John Heche: John Mrema amekimbia na Akaunti za YouTube na X za Chama, tuligundua kila wiki analipwa Tsh. Milioni 3

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Chadema ilikuwa inaendeshwa na wahuni. Asante Lisu kwa kuwaumbua hawa kenge
 
Mangi huyu ni hatari sana!

Mungu fundi kweli kweli, kaisaficha CHADEMA kabla haijashika dola. Vinginevyo, ingekuwa hatari sana chama hiki kushika dola kikiwa na aina hii ya watu. CCM wangekuwa cha mtoto.

Hakika Mungu ana makusudi na kila jambo.

Better a greedy hyena than a greedy politician.
Real!
 
Mbowe mwenyewe alisha simulia habari za namna hii uliyoeleza hapa mara kadhaa; na mara zote alinitia hofu kubwa sana kwa chama alichokuwa akikiongoza kushika madaraka.
 
Mchagga ni mchagga tu 😂😂😂

Huu ujinga akaufanye Chaumma kama hawajamchoma Moto 🐼
Pesa ya Abduli na mama yake hajui hata aifanyie kazi gani. Hivi sasa siyo swala la pesa tena kwake; ni kutafuta njia tu za kujisafisha na kulinda/kurudisha(?) heshima iliyo yeyuka.
 
View attachment 3336876Tuna watu ambao wamenufaika na chama hiki wakakifanya kama mali binafsi. John Mrema alikuwa mkurugenzi wetu wa Habari na Uenezi na namtaja. YouTube channel ya chama inaitwa CHADEMA Digital inamilikiwa na nani?

Kwenye YouTube Channel, kila unapopata hits YouTube inakulipa pesa. Wakafungua YouTube acc ya chama, ina followers laki 4 kumbe ana imiliki yeye na kijana mmoja. Kila wiki wanalipwa zaidi ya Tsh. Milioni 3. Tumeyakuta hayo ofisini.

Unamiliki YouTube channel ya chama, unalipwa wewe, leo tumekata mirija ya ufisadi unaanza kupiga kelele huko? Na waende wanako enda. Hatuwezi kuwa na chama cha aina hii.

Wamechukua YouTube channel yetu wamekimbia nayo, wamechukua acc ya X wamekimbia nayo kwa kisingizio kwamba walitumia credentials zao kufungua acc hizo. Wameamua kuungana na dola, tutashughulika nao.

John Heche
Mei 16, 2025 kwenye Uzinduzi wa CHADEMA Family, Kata ya Bulyanhulu, Jimbo la Msalala, Chadema Familia ina wanachama hai 250.

Pia soma CHADEMA: Akaunti zetu za chama za YouTube na X (Twitter) zimedukuliwa

wamshatiki Bunge la EU
 
Hizi ni siasa,

U tube channel uwe na followers laki nne ulipwe 3 ml per week🙄

Tuache uzushi, siasa za maji taka hatuzitaki.

Heche Rudi kwa mstali🙏
Tufanyie uchanganuzi wa makadirio unaoona wewe unastahili.
Pamoja na hayo; jambo muhimu zaidi katika taarifa hiyo usiipotezee katika kujaribu kukingia kifua uhalifu na kukosa uaminifu.
Unadiriki hata kuita jambo hili kuwa "siasa za maji taka"? Hivi wewe umeielewaje taarifa hiyo!
 
View attachment 3336876Tuna watu ambao wamenufaika na chama hiki wakakifanya kama mali binafsi. John Mrema alikuwa mkurugenzi wetu wa Habari na Uenezi na namtaja. YouTube channel ya chama inaitwa CHADEMA Digital inamilikiwa na nani?

Kwenye YouTube Channel, kila unapopata hits YouTube inakulipa pesa. Wakafungua YouTube acc ya chama, ina followers laki 4 kumbe ana imiliki yeye na kijana mmoja. Kila wiki wanalipwa zaidi ya Tsh. Milioni 3. Tumeyakuta hayo ofisini.

Unamiliki YouTube channel ya chama, unalipwa wewe, leo tumekata mirija ya ufisadi unaanza kupiga kelele huko? Na waende wanako enda. Hatuwezi kuwa na chama cha aina hii.

Wamechukua YouTube channel yetu wamekimbia nayo, wamechukua acc ya X wamekimbia nayo kwa kisingizio kwamba walitumia credentials zao kufungua acc hizo. Wameamua kuungana na dola, tutashughulika nao.

John Heche
Mei 16, 2025 kwenye Uzinduzi wa CHADEMA Family, Kata ya Bulyanhulu, Jimbo la Msalala, Chadema Familia ina wanachama hai 250.

Pia soma CHADEMA: Akaunti zetu za chama za YouTube na X (Twitter) zimedukuliwa

""MWIZI KAMFUKUZA MWIZI MWINGINE ILI NAYE AANZE KUIBA""
NDICHO KILICHOPO HAKUNA LOLOTE!
 
CHADEMA MWENDOKASI, UKIWASIKILIZA UNAWEZA DHANIA WAKO WANAMPENDA SANA MTANZANIA KUMBE HAKUNA KITU HAPO NAO WANA TAFUTA UGALI WAO WA KILA SIKU, KWA UJINGA KABISA MTU MZIMA ANASIMAMA NA KUSEMA LISSU NI MKOMBOZI WA KWELI KWA SABABU ALIPIGWA NA RISASI. 😊😊😊😊
 
John Mrema ni mpuuzi sana, alimdhulumu Msigwa ushindi wa Kanda ya Nyasa kwa kupewa beer na nyama choma na Sugu,ni kajitu ka hovyo sana.
 
View attachment 3336876Tuna watu ambao wamenufaika na chama hiki wakakifanya kama mali binafsi. John Mrema alikuwa mkurugenzi wetu wa Habari na Uenezi na namtaja. YouTube channel ya chama inaitwa CHADEMA Digital inamilikiwa na nani?

Kwenye YouTube Channel, kila unapopata hits YouTube inakulipa pesa. Wakafungua YouTube acc ya chama, ina followers laki 4 kumbe ana imiliki yeye na kijana mmoja. Kila wiki wanalipwa zaidi ya Tsh. Milioni 3. Tumeyakuta hayo ofisini.

Unamiliki YouTube channel ya chama, unalipwa wewe, leo tumekata mirija ya ufisadi unaanza kupiga kelele huko? Na waende wanako enda. Hatuwezi kuwa na chama cha aina hii.

Wamechukua YouTube channel yetu wamekimbia nayo, wamechukua acc ya X wamekimbia nayo kwa kisingizio kwamba walitumia credentials zao kufungua acc hizo. Wameamua kuungana na dola, tutashughulika nao.

John Heche
Mei 16, 2025 kwenye Uzinduzi wa CHADEMA Family, Kata ya Bulyanhulu, Jimbo la Msalala, Chadema Familia ina wanachama hai 250.

Pia soma CHADEMA: Akaunti zetu za chama za YouTube na X (Twitter) zimedukuliwa

Fukuzeni mbali wahuni wote na vibaka ndani ya chama
 
Hizi ni siasa,

U tube channel uwe na followers laki nne ulipwe 3 ml per week🙄

Tuache uzushi, siasa za maji taka hatuzitaki.

Heche Rudi kwa mstali🙏
Unadhani aliewaita nyumbu alikisea🤣 unaona mwenyewe wanavyoshabikia humu
 
Back
Top Bottom