Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,524
- 42,677
Tuwaombee!Kabisa. Na hata wale ambao zamani niliwaona kama "critical thinkers" wamezama huko huko.
Amandla...
Tuwaombee!Kabisa. Na hata wale ambao zamani niliwaona kama "critical thinkers" wamezama huko huko.
Amandla...
Tupe ya ccm, wao wana viewers wangapi?
Bwashee tunakujua wewe ni mamluki na tunaomba usijipendekeze kwetu kisa umeanza kuona ngoma inogileMchagga ni mchagga tu 😂😂😂
Huu ujinga akaufanye Chaumma kama hawajamchoma Moto 🐼
Mambo ya Club House haya. Kutokutaka mawazo mbadala ndio kumewafikisha hapa.Tuwaombee!
Anayezungumziwa ni Heche 🐼🇹🇿Kipindi kile nilipokua namwamini sana Lissu kuna mtu flani yuko US alikua akinishangaa sana!! Nilikua namwamini na kumkubali lissu kwa kiwango kiaichoelezeka ila sasa nimeamini na kujiona nilikua nakosea sana!! Kwa Heche nilifahamu kitambo ni mtu asiye na substance kabisa!!
Sidhani kama anaelewa hata ni kwa namna gani Yotube hulipa watu na kwa taratibu zipi huwafanya wathibitishe malipo na mhusika, sidhani kama pia anafahamu Youtube inalipa sh ngapi kwa views za kiasi gani!!
Inasikitisha sana kuwa na thinking ya kiwango hiki 🙌🙌🙌
Chadema watupe mbinu wanayotumia account yao isiyo na subscribers hata laki tano kulipwa million 3 kwa week.Hizi ni siasa,
U tube channel uwe na followers laki nne ulipwe 3 ml per week🙄
Tuache uzushi, siasa za maji taka hatuzitaki.
Heche Rudi kwa mstali🙏
Hapa tunazidi kwenda mbali zaidi mimi nimekwambia Youtube ni Partner katika malipo ambayo yanatokana na matangazo kwahio content yako kama ina matangazo mengi utapata gawio kulingana na hayo mengine.., ndio maana wengine wengi hawategemei views pekee bali sponsorship, kuwa influence wengine wanunue kitu (kwa malipo) affiliate sales n.k. Youtube anakupatia platform na wewe kama partner katika monitization yako mnanufaika wote ila mpaka uwe partner lazima kuna thresholds uzifikie....; Ndio maana haya mambo yanahitaji Niche Marketing na aina tofauti tofauti za contents zina aina tofauti za kufaidika; mfano hapa CHADEMA labda wangenufaika kwa kuuza products zao pia (Merchandising, mfano Tshirts n.k.) au kuimiza watu kuchangia Chama; Views in such a case is secondary (sababu hata tu kuhakikisha content yao inapatikana that is a job well done )Kigezo cha malipo ukiwa mmliki wa YouTube ni hivyo:
1. Number of Subscribers, viewers per week or month
2. Original contents unazopost
3. Matangazo
Tunaweza kujielimisha👇👇👇
HOW YOUTUBE ACCOUNT OWNERS ARE PAID?YouTube pays channel owners through the YouTube Partner Program (YPP), which utilizes Google AdSense for payouts.
AdSense for YouTube is where creators set up their payment information and receive their earnings.
Here's a more detailed breakdown:
YouTube Partner Program (YPP):
To monetize their content, creators must join the YPP and meet specific requirements, including having 1,000 subscribers and 4,000 valid public watch hours in the past 12 months.
AdSense for YouTube:
This is the platform where creators connect their YouTube channel with AdSense, allowing Google to handle payments.
Ad Revenue:
The primary way creators earn money on YouTube is through advertising. They receive a percentage of the ad revenue generated on their videos.
Payment Methods:
Creators can select their preferred payment method within AdSense, which may include Electronic Funds Transfer (EFT), Hyperwallet, wire transfer, or check.
Minimum Payment Threshold:
YouTube has a minimum payment threshold for creators, which is currently $100.
Monthly Payments:
Creators typically receive monthly payouts via their chosen payment method, either through direct deposit or mail.
Other Revenue Streams:
Besides ad revenue, creators can earn through channel memberships, merchandise sales, and Super Chat.
NB: Kama ni kweli John Mrema na wenzake ndiye alikuwa custodian wa YouTube Account kwa kutumia credentials zake/zao, obvious yeye ndoye alikuwa anapokea malipo...
Nadhani tunachoweza kuhoji ni kiwango cha malipo kama hiki kinachotajwa hapa ni sahihi au la.
CC: Rabbon
Youtube wanalipa kwa subscribers Tz??Labda kwa media zingine ila kwa YouTube hmna kitu sababu channel ya chadema mpka leo ina wastani wa views laki nne na elfu sitini kwa mwezi.
Jambo ambalo kwa hesabu za Google malipo ya chanel km hiyo richa ya video zake kuwa ndefu malipo yake ya mwezi hayawezi toka nje ya hapa 500,000 to 1,200,000
Hujaona mada ya Heche kwa comment yangu au ndo too big to swallow?Anayezungumziwa ni Heche 🐼🇹🇿
You tube hawalipi followers,wanalopa views..........unaweza Kianna followers 10,ila views milioni 200,wewe ninmilionea hapoHizi ni siasa,
U tube channel uwe na followers laki nne ulipwe 3 ml per week🙄
Tuache uzushi, siasa za maji taka hatuzitaki.
Heche Rudi kwa mstali🙏
Heche hasikiliziki....anahitaji kusikilizwa na watu wasio na exposure.Sasa kuna faida gani ku- exaggerate kwamba laki 4 unalipwa 3m? Si Bora angeishia kusema alikuwa analipwa bila kutaka kiasi? Huo nao ni uropokaji!
Nimeona tu unamshambulia mwenyekiti wa Chadema mnyaturu Tundu Antipas Lisu Kiongozi pekee wa Upinzani aliyekubalika na baba wa Demokrasia Mzee Mwinyi 🐼🇹🇿Hujaona mada ya Heche kwa comment yangu au ndo too big to swallow?
Hatutofautiani, hata kama tunatofautiana ni kidogo sana...Hapa tunazidi kwenda mbali zaidi mimi nimekwambia Youtube ni Partner katika malipo ambayo yanatokana na matangazo kwahio content yako kama ina matangazo mengi utapata gawio kulingana na hayo mengine.., ndio maana wengine wengi hawategemei views pekee bali sponsorship, kuwa influence wengine wanunue kitu (kwa malipo) affiliate sales n.k. Youtube anakupatia platform na wewe kama partner katika monitization yako mnanufaika wote ila mpaka uwe partner lazima kuna thresholds uzifikie....; Ndio maana haya mambo yanahitaji Niche Marketing na aina tofauti tofauti za contents zina aina tofauti za kufaidika; mfano hapa CHADEMA labda wangenufaika kwa kuuza products zao pia (Merchandising, mfano Tshirts n.k.) au kuimiza watu kuchangia Chama; Views in such a case is secondary (sababu hata tu kuhakikisha content yao inapatikana that is a job well done )
Badala uumie ccm kutawala miaka 60+ na bado kuna imaskini wa kutisha kiuhalisia wewe ndo zuzuWapo mazuzu kibao wameingia mkenge wa Heche na kuamini propaganda zake za kijinga.
Jikite kwenye mada. CCM haihusiki hapaTupe ya ccm, wao wana viewers wangapi?
Nyie wenye exposure kwani mmenyimwa kuingia kwenye siasa???Heche hasikiliziki....anahitaji kusikilizwa na watu wasio na exposure.
Speech zake zina makosa mengi saana kiasi cha kunifanya mara zote nabadilisha channel.
Nani kakuambia hatupo?Nyie wenye exposure kwani mmenyimwa kuingia kwenye siasa???
Nimemshambulia wapi? Too big to swallow?Nimeona tu unamshambulia mwenyekiti wa Chadema mnyaturu Tundu Antipas Lisu Kiongozi pekee wa Upinzani aliyekubalika na baba wa Demokrasia Mzee Mwinyi 🐼🇹🇿
Haupo ungekuwepo usingekuwa unamlalamikiaNani kakuambia hatupo?
Silalamiki nakosoaHaupo ungekuwepo usingekuwa unamlalamikia