City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Ulitaka wamfanye Nini ikiwa ana urafiki wa karibu na mwenyekiti? Ni sawa na kuuliza waliomfunga ole sabaya walikua wapi wakati wa magufuliKwamba kabla ya kusepa hawakuwa wakilijua hili?
Ulitaka wamfanye Nini ikiwa ana urafiki wa karibu na mwenyekiti? Ni sawa na kuuliza waliomfunga ole sabaya walikua wapi wakati wa magufuliKwamba kabla ya kusepa hawakuwa wakilijua hili?
Aiseee mpaka machozi ya furaha yamenibubujika mithili ya Luca anapobubujikwa na machozi ya furaha akiona mafsad yakiiba pesa na Kodi za wananchi ,nmefurah mrija ulivyokatwaView attachment 3336876Tuna watu ambao wamenufaika na chama hiki wakakifanya kama mali binafsi. John Mrema alikuwa mkurugenzi wetu wa Habari na Uenezi na namtaja. YouTube channel ya chama inaitwa CHADEMA Digital inamilikiwa na nani?
Kwenye YouTube Channel, kila unapopata hits YouTube inakulipa pesa. Wakafungua YouTube acc ya chama, ina followers laki 4 kumbe ana imiliki yeye na kijana mmoja. Kila wiki wanalipwa zaidi ya Tsh. Milioni 3. Tumeyakuta hayo ofisini.
Unamiliki YouTube channel ya chama, unalipwa wewe, leo tumekata mirija ya ufisadi unaanza kupiga kelele huko? Na waende wanako enda. Hatuwezi kuwa na chama cha aina hii.
Wamechukua YouTube channel yetu wamekimbia nayo, wamechukua acc ya X wamekimbia nayo kwa kisingizio kwamba walitumia credentials zao kufungua acc hizo. Wameamua kuungana na dola, tutashughulika nao.
John Heche
Mei 16, 2025 kwenye Uzinduzi wa CHADEMA Family, Kata ya Bulyanhulu, Jimbo la Msalala, Chadema Familia ina wanachama hai 250.
Pia soma CHADEMA: Akaunti zetu za chama za YouTube na X (Twitter) zimedukuliwa
Tunaweza kumlaumu heche hapa kumbe aliyeleta habari kanukuu vibaya, pengine alisema kila mwezi au kila mwaka. Aweke video tusikie ndio tuanze kujajiKwamba followers laki nne wakupe 3m per week huko mjini utube? Kwa content zipi hasa. Hapa makamu ametupiga changa la kisogo.
Ndio Heche kasema You tube na X kwa akina KigogoX huko siko kabisa.
Hakika mkuu, content za channel yao haziwezi kuleta 3m kwa wiki, kwa kipi hasa?Tunaweza kumlaumu heche hapa kumbe aliyeleta habari kanukuu vibaya, pengine alisema kila mwezi au kila mwaka. Aweke video tusikie ndio tuanze kujaji
Muhimu ni hela hata ingekuwa Buku imeenda wapi?Tunaweza kumlaumu heche hapa kumbe aliyeleta habari kanukuu vibaya, pengine alisema kila mwezi au kila mwaka. Aweke video tusikie ndio tuanze kujaji
Sasa kuna faida gani ku- exaggerate kwamba laki 4 unalipwa 3m? Si Bora angeishia kusema alikuwa analipwa bila kutaka kiasi? Huo nao ni uropokaji!Hata kama ni 100, ilikuwa ipo countable kwenye vitabu vya chama? Thats the hoja!
Ameen,Mangi huyu. ni hatari sana!
Mungu fundi sana, kaisaficha CHADEMA kabla haijashika dola. Vinginevyo, ingekuwa hatari sana chama kushika dola kikiwa na aina hii ya watu. CCM wangekuwa cha mtoto.
Hakika Mungu ana makusudi na kila jambo.
Better a greedy hyena than a greedy politician.
Wachagga mimi nilishawaogopa. Mtoto wa shemeji yangu kabisa yaani mke wangu ni mama mdogo wake akataka kunila cha juu kwenye kutoa gari bandarini! Pumbavu kabisa! Nami akakutana na Msukuma mjanja nikasema sitoi cash kwa mtu yeyote, malipo yote nitayafanya kupitia benki kila ukipata invoice mimi naenda kulipa. Nakumbuka cash niliyompa ni ile ya kumlipa jamaa aliyeitoa gari kule ndani kuleta huku nje ya geti la bandarini. Wachagga watu wa hovyo!Wachaga Mungu awasaidie. Asilimia kubwa ni wabinafsi Sijawai ona
Mrema alikuwa anamiliki akaunti tatu maarufu za chamaX huko siko kabisa.
Heche muongo mnoChanel ina subscribers 112 tu, sidhani kama kuna ukweli hapo
Huwa yanafanya copy and paste
UMELEWA VIZURI KWELI?ACHA KUONGOZWA NA MIHEMKOHizi ni siasa,
U tube channel uwe na followers laki nne ulipwe 3 ml per week🙄
Tuache uzushi, siasa za maji taka hatuzitaki.
Heche Rudi kwa mstali🙏
Imeenda kwenye uduvi wa Tabata na kitimoto ya Makongo juu kila weekendMuhimu ni hela hata ingekuwa Buku imeenda wapi?
Tabata Barakuda au kwenye mbege
Taratibu, tunahitaji kura zaoWachagga mimi nilishawaogopa. Mtoto wa shemeji yangu kabisa yaani mke wangu ni mama mdogo wake akataka kunila cha juu kwenye kutoa gari bandarini! Pumbavu kabisa! Nami akakutana na Msukuma mjanja nikasema sitoi cash kwa mtu yeyote, malipo yote nitayafanya kupitia benki kila ukipata invoice mimi naenda kulipa. Nakumbuka cash niliyompa ni ile ya kumlipa jamaa aliyeitoa gari kule ndani kuleta huku nje ya geti la bandarini. Wachagga watu wa hovyo!
Wanapokea nyingi kiasi gani? Kama hatuna taarifa sahihi tunyamaze tu!Kinacholeta hela You Tube ni viewers. Kwa mfano wale vijana wa kimasai (Kili Paul) wanaocheza nyimbo za kihindi You Tube wana viewers wengi sana na subscribers 6.54m hivyo hupokea hela nyingi. So, ukiangalia Kili Paul hajulikani kama Mwijaku au CHADEMA ila pesa anapiga ndefu kuwazidi.
😁😁😁😂😂😂 Tunazihitaji lakini waheshimu watu bwana! Mbowe nilikuwa namkubali lakini ikifika kwenye Uchagga wake namtupa kule! Wanapenda kupiga sana! Hebu fikria kama tungechukua dola halafu ka Mrwma Kawe ka waziri ka fedha! Si Mwigulu atakuwa cha mtoto!Taratibu, tunahitaji kura zao
..🤣🤣🤣🤣Mchagga ni mchagga tu 😂😂😂
Huu ujinga akaufanye Chaumma kama hawajamchoma Moto 🐼