PreGE2025 John Heche: John Mrema amekimbia na Akaunti za YouTube na X za Chama, tuligundua kila wiki analipwa Tsh. Milioni 3

PreGE2025 John Heche: John Mrema amekimbia na Akaunti za YouTube na X za Chama, tuligundua kila wiki analipwa Tsh. Milioni 3

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hiki chama kina upumbavu mwingi sana, na wafuasi wao ni viazi kabisa, hakuna wanachoweza kuhoji wala kuthibitisha ukweli wake. Inaingiaje akilini Youtube walipe kiasi kikubwa hivyo cha pesa kwa kila wiki? Wafuasi laki nne tu 3ml per week!? Ujinga gani huu mnaaminishana kisa kumshusha fulani aliyeamua kuwaachia chama? Narudia na kusisitiza ili uwe mfuasi wa chadema kindaki ndaki yakupasa ujitoe ufahamu, ukose hata akili ya kuomba maji ukiwa na kiu. Yaani uwe kama wafuasi wa Kibwetere.
 
Inasikitisha Sana nikiona akina Sokka na wenzake wamekufa Kwaajili ya chama huku ndani ya chama kuna matapeli wanavuna pesa Tu.
Hawa mbwa ndiyo maana wanaumia Sana duka kufungwa
 
Mangi huyu. ni hatari sana!

Mungu fundi sana, kaisaficha CHADEMA kabla haijashika dola. Vinginevyo, ingekuwa hatari sana chama kushika dola kikiwa na aina hii ya watu. CCM wangekuwa cha mtoto.

Hakika Mungu ana makusudi na kila jambo.

Better a greedy hyena than a greedy politician.
Muache kulialia, bali mumpeleke mahakamani. Msipompeleka mahakamani maana yake mnalinda na kulea ufisadi!!
 
Kuna vitu hujui, omba uelimishwe. Ile akaunti siyo kama hivyo vijiakaunti vyenu huko! Uliza uambiwe ilikuwa inaendeshwaje. Halafu jiulize kwanini siku mbili tu baada ya uchaguzi mtu wa kwanza kutoa kilio hadharani alikuwa Mrema
Mkuu kuna kipi sijui kuhusu mitandao? Au You Tube nayo ilikuwa inachangia Join The Chain?
 
Nadhani,mnyika,heche na tundulissu wasihangaike na kuwa na majibizano hao chawa wa mbowe ambao kwasasa wanahangaika kutafuta tena access ya kimasilahi katika chama baada ya mbowe na kundi lake kutolewa katika maza ya maamuzi ya mwisho.

Watafute kikosi kazi cha kupambana hawa machawa ambao wanaleta tu kelele zisizo na mbele wala nyuma.

Kuna vijana ambao wapo very articulated wapewe mamlaka ya kuwajibu hawa chawa kwa lugha ya staha na heshima wakilinda heshima ya chama.

Hii kuwajibu ni kuwapa airtime watu waliochagua kufeli.
 
I once respected Mbowe
1000283814.jpg

Huyu?
 
Hiki chama kina upumbavu mwingi sana, na wafuasi wao ni viazi kabisa, hakuna wanachoweza kuhoji wala kuthibitisha ukweli wake. Inaingiaje akilini Youtube walipe kiasi kikubwa hivyo cha pesa kwa kila wiki? Wafuasi laki nne tu 3ml per week!? Ujinga gani huu mnaaminishana kisa kumshusha fulani aliyeamua kuwaachia chama? Narudia na kusisitiza ili uwe mfuasi wa chadema kindaki ndaki yakupasa ujitoe ufahamu, ukose hata akili ya kuomba maji ukiwa na kiu. Yaani uwe kama wafuasi wa Kibwetere.
1000283814.jpg

Mwamba wa machame tuvushe
 
Haisaidii kitu usipoweka facts. Sasa tuambie, ukiwa na followers laki nne utalipwa ngapi, maana umeonyesha unajua utakacholipwa
Labda kwa media zingine ila kwa YouTube hmna kitu sababu channel ya chadema mpka leo ina wastani wa views laki nne na elfu sitini kwa mwezi.
Jambo ambalo kwa hesabu za Google malipo ya chanel km hiyo richa ya video zake kuwa ndefu malipo yake ya mwezi hayawezi toka nje ya hapa 500,000 to 1,200,000
 
Ndio sababu a spokes 4.5 m 😁😁
Kinacholeta hela You Tube ni viewers. Kwa mfano wale vijana wa kimasai (Kili Paul) wanaocheza nyimbo za kihindi You Tube wana viewers wengi sana na subscribers 6.54m hivyo hupokea hela nyingi. So, ukiangalia Kili Paul hajulikani kama Mwijaku au CHADEMA ila pesa anapiga ndefu kuwazidi.
 
Zungumzia na X
 
Kwamba followers laki nne wakupe 3m per week huko mjini utube? Kwa content zipi hasa. Hapa makamu ametupiga changa la kisogo.
 
Back
Top Bottom