PreGE2025 John Heche: John Mrema amekimbia na Akaunti za YouTube na X za Chama, tuligundua kila wiki analipwa Tsh. Milioni 3

PreGE2025 John Heche: John Mrema amekimbia na Akaunti za YouTube na X za Chama, tuligundua kila wiki analipwa Tsh. Milioni 3

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hizi ni siasa,

U tube channel uwe na followers laki nne ulipwe 3 ml per week🙄

Tuache uzushi, siasa za maji taka hatuzitaki.

Heche Rudi kwa mstali🙏
inawezekana, malipo yanaingia kwa njia zaidi ya followers, kuna idadi ya wanaofungua kama watazamaji
 
Hapo kwenye M3 kwa wiki Heche amepewa taarifa sahihi kweli?
 
View attachment 3336876Tuna watu ambao wamenufaika na chama hiki wakakifanya kama mali binafsi. John Mrema alikuwa mkurugenzi wetu wa Habari na Uenezi na namtaja. YouTube channel ya chama inaitwa CHADEMA Digital inamilikiwa na nani?

Kwenye YouTube Channel, kila unapopata hits YouTube inakulipa pesa. Wakafungua YouTube acc ya chama, ina followers laki 4 kumbe ana imiliki yeye na kijana mmoja. Kila wiki wanalipwa zaidi ya Tsh. Milioni 3. Tumeyakuta hayo ofisini.

Unamiliki YouTube channel ya chama, unalipwa wewe, leo tumekata mirija ya ufisadi unaanza kupiga kelele huko? Na waende wanako enda. Hatuwezi kuwa na chama cha aina hii.

Wamechukua YouTube channel yetu wamekimbia nayo, wamechukua acc ya X wamekimbia nayo kwa kisingizio kwamba walitumia credentials zao kufungua acc hizo. Wameamua kuungana na dola, tutashughulika nao.

John Heche
Mei 16, 2025 kwenye Uzinduzi wa CHADEMA Family, Kata ya Bulyanhulu, Jimbo la Msalala, Chadema Familia ina wanachama hai 250.

Pia soma CHADEMA: Akaunti zetu za chama za YouTube na X (Twitter) zimedukuliwa

anaweza sema chochote

anaweza sema figure yeyote...hata 400mil kwa mwezi

tatizo atupe evidence kama yeye evidence ya gari la kuhongwa lilivyowekwa hadharani

mwanasiasa huongeaga lolote maana hakuna consequences
 
Chama hiki baada ya kuona watu aina ya Mrema ilitosha kupigia mstari kuwa tuna matapeli wakuvwa kabisa,

Sasa Chdema ni rasmi ndio chama cha wananchi,chaguo la Mungu.
 
Hiki chama kina upumbavu mwingi sana, na wafuasi wao ni viazi kabisa, hakuna wanachoweza kuhoji wala kuthibitisha ukweli wake. Inaingiaje akilini Youtube walipe kiasi kikubwa hivyo cha pesa kwa kila wiki? Wafuasi laki nne tu 3ml per week!? Ujinga gani huu mnaaminishana kisa kumshusha fulani aliyeamua kuwaachia chama? Narudia na kusisitiza ili uwe mfuasi wa chadema kindaki ndaki yakupasa ujitoe ufahamu, ukose hata akili ya kuomba maji ukiwa na kiu. Yaani uwe kama wafuasi wa Kibwetere.
Embu tutumie vyeti vyako vya form 4 na 6 Kam ulifika tuone tatzo lako liko wapi km hujafika tushajua tear
 
Back
Top Bottom